Search results

  1. Abubakari Mussa

    Watengeneza 'Meme' huwa wanawaza nini?

    Hawezi elewa
  2. Abubakari Mussa

    Watengeneza 'Meme' huwa wanawaza nini?

    😅😅😅😅😅😅
  3. Abubakari Mussa

    Watengeneza 'Meme' huwa wanawaza nini?

    Kabisa na siku zinaenda 😅😅
  4. Abubakari Mussa

    Watengeneza 'Meme' huwa wanawaza nini?

    Nimecheka sana mkuu😅😅😅
  5. Abubakari Mussa

    Watengeneza 'Meme' huwa wanawaza nini?

    Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
  6. Abubakari Mussa

    Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Kuna baadhi ya maeneo upo competent lakini huwezi kuzidi uwezo wa tech kama AI na baadhi ya sehemu Pia baathi ya tech haihusiani na competency, fikiria matumizi ya mitambo ya kunyanyulia vitu Kwanza inapunguza cost, pili efficiency tatu mudaa , nk Kwaio mimi naona tech itaathiri vitu vingi sana
  7. Abubakari Mussa

    Jinsi ya kuchagua Speaker bora

    Ahnaaa hiii nitaifatilia mkuu Shukran Wakina JBl wanakuaga na quality ila bei ipo juu
  8. Abubakari Mussa

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Wewe ndio hujui kinachozungumziwa sasa Ni kheri ungeuliza kuliko kuponda watu Kwa mtizamo wako wanapira kura ya nini?
  9. Abubakari Mussa

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Man u mbona anapendelewa sana na hii mambo? Hawezi taka isepe
  10. Abubakari Mussa

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Soma apo Sababu ndio hizi 🚨📺 OFFICIAL: letter sent to the Premier League regarding scrapping VAR. "Wolves have formally submitted a resolution to the Premier League to trigger a vote at the league's AGM in June, on the removal of VAR from the start of the 2024/25 season. The introduction of...
  11. Abubakari Mussa

    Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Unaweza fafanua vizuri apo kwa askari na secretary? Police ukimaanisha matumizi ya camera na kukatiwa fine kwa e-ways? Au yaani njia za mtandao tu? Shukran
  12. Abubakari Mussa

    Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu. Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
  13. Abubakari Mussa

    Jinsi ya kuchagua Speaker bora

    Habari wakubwa hii leo nakupa hii ya bure kabisaa Uliza swali kama hujaelewa Twende pamoja Jinsi ya Kuchagua Speakers Bora kwa Kufurahia Muziki Kwa wapenzi wa muziki, kuchagua speakers ni uamuzi muhimu ambao huathiri uzoefu wao wa kusikiliza. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua kusaidia...
  14. Abubakari Mussa

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Wanakupa na vitabu vya rich dad poor dad Wana wana tactics ukiwa na beki kama za man u wanakutoboa kweupeeeee😅
  15. Abubakari Mussa

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Duuh nakumbuka hawa jama walikua na ofisi nje kwetu makumbusho 2018 Nikaulizia wakaniambia 4M Sasaivi naona wamepanda mpaka 6M Kiukweli kwa kipindi kile kilichobisaidia sikua na hio ela Ila hao jamaaa ni wanaku manipulate unaona utajiri huu apa ,,, wana brain wash Huyo ndugu yako mkuu mpaka...
Back
Top Bottom