Video sijafungua, ndio imezungumzia Maalim kudaiwa? Kuna picha niliona kapiga na jide hapo hoteliniRais Magufuli amtembelea Maalim Seif, Serena Hotel
=========== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, amemtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika holeti ya Serena Jijini Dar es Salaam. Maalim Seif yupo hotelini hapo kwa mapumziko baada ya kutolewa hospitali ya Hindu Mandal...www.jamiiforums.com
Hapo wazee wanakujaga kupumzika kidogo kushusha presha