Abubakari Mussa
Senior Member
- Mar 26, 2020
- 111
- 152
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?π
π
π
Nimecheka sana mkuuπ π πππusikate tamaa nyingi waachie na wenzio
Kabisa na siku zinaenda π πahahaha inafurahisha ila meme zinatuobdolea makasiriko
π π π π π π
Ahahaahhh Ila meme zinafurahisha sana
Hahahπππ
Huwa wana waza meee,meee,meeeeπ€ͺ
Abduli anajua tu sifa zikianza kizinga kinafuata
Akipigwa kizinga kama hataki si anakataa tu jamani. Ukute huyo mdada hata hakua na hilo lengo.Abduli anajua tu sifa zikianza kizinga kinafuata