Search results

  1. Rais wa Matajiri

    Shaka: Ikitokea kuna dalili za Uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukakaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka

    == "Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa "Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni...
  2. Rais wa Matajiri

    EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea biashara na ajira kama hizi kuwaita "Mabeberu " japo hii sio hoja yangu wacha twende kwenye hoja...
  3. Rais wa Matajiri

    Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

    Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...
  4. Rais wa Matajiri

    HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari, Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100% Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
  5. Rais wa Matajiri

    Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Serengeti: Heche ni turufu pekee iliyosalia Kanda ya Ziwa. Kumwondoa Heche ni kuisalimisha Kanda kwa CCM

    Salaam Jf, Wakati joto la Uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) likizidi kupamba moto katika kanda kumi (10) za kichama za chama hicho mnyukano mkali Uko katika kanda ya Serengeti yenye mikoa ya Simiyu, Mara na Shinyanga. Mnyukano mwingine ni Kanda ya Kati...
  6. Rais wa Matajiri

    Bavicha Shinyanga: Baraza la Vijana la CHADEMA laapa kufa na wanaoahidi kumuua Tundu Lissu, Waapa kumsindikiza ama Ikulu ama Peponi,

    CHADEMA mnapashwa kuwa na vijana Wa aina hii, Hawa vijana ni Wa kweli na hakika ni Wazalendo kwelikweli, Anayetaka kumuua Tundu Lissu anataka kuliangamiza Taifa hili. Viva BAVICHA Shinyanga.
  7. Rais wa Matajiri

    Je, hama hama ndani ya CHADEMA ni mkakati wa CCM au wa CHADEMA yenyewe na kama ni wa CCM nani beneficiary wa hili kwa siku za usoni?

    Hello Tanzania! ___________________ Unajua ukifanya ulinganifu wa Utawala wa Mkapa, Mwinyi, Kikwete na huyu John Utagundua kuwa Ndugu John ndiye Kiongozi anaedaiwa kuungwa mkono na Genge là Wahuni wengi zaidi Kuliko wakina mkapa sababu watu kama Mtei walishindwa Kuunga mkono juhudi za Mwalimu...
  8. Rais wa Matajiri

    Vifurushi vya Chuo: Voda kama mmetuchoka Wanavyuo mtuambie

    ` Habari ziwafikie popote mlipo........ Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu...
Back
Top Bottom