Vifurushi vya Chuo: Voda kama mmetuchoka Wanavyuo mtuambie

Rais wa Matajiri

JF-Expert Member
Sep 14, 2018
1,493
619
`

Habari ziwafikie popote mlipo........

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu . Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi ??? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho ?? Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???" . Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji

Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie

~Fulldose~```
 
Mngepambana ma wale jamaa wa mbagala ("njoo tukusajilie line ya chuo unapata dakik.... chap unaanza kutumia")
Hao wameharibu sana.
 
Waitoe Huduma hiyo wanachuo kuliko kutoza wanavyofanya tena bila taarifa.
 
hatujawachoka ila ni kuwa tunataka pesa zenu

na pia tunataka kulipa kodi kikamilifu serikalini. Unajua tunapaswa kulipa shi ngapi kama kodi? iweje tuwape vifurushi vya ubwete tu haya machungu lazima tuyashiriki wote!
 
Acha mpandishiwe wameona mkijiunga na hizo GB baada ya kufanya ya maana mnaanza kuangalia porn na kupiga picha za uchi kurusha mitandao, Mara mpige selfie mkiwa baa mnashika papuchi yaan ujinga ujinga...

Halafu wengne sio wanachuo wanakimbilia kujifanya wanachuo wakija kuangalia particular zake wanakuta jitu Lina miaka sawa na Tulia ndio maana wanaamua kuwapandishia tu
 
Sisi kama vodacom tumewasikia wanachuo tutajirekebisha bado pesaa kidogo tufikie lengo kwakweli tulitaka kulipa Yale mapesa tuliyatoa kwenye rambirambi hivyo basi mtuvumilie hadi kesho mchana mambo yatakuwa sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom