PIUS LYAMBISE na NESTORI GABULIELI wanashtakiwa kwa kuomba hongo ya Sh. 200,000/- kinyume na kifungu cha 15 (1) (a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 marejeo ya Mwaka...
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba...
Machawa fanyeni kazi yenu basi ya kusifia. Mvua hizo, mafuriko, mama Anaupiga mwingi. Naomba tumshukuru kwa mafuriko maana maisha yetu yanakuwa determined na Mama.
Au nakosea jamani
UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar
Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi
Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa...
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.