Naamini Simba ndiyo itachukua ubingwa ligi kuu ya NBC Tanzania Yanga nafasi ya pili

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,252
4,834
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
 
Attachments

  • 1715319238136.jpg
    1715319238136.jpg
    386.8 KB · Views: 3
  • IMG-20230728-WA0030.jpg
    IMG-20230728-WA0030.jpg
    39.6 KB · Views: 3
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini muda utaongea tu hivyo muwe na subira

Kizazi cha miujiza bado hakijapotea yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizobaki

Kila la kheri Simba muwe na furaha na amani
Upuuuzii wako peleka choonii
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Unajua yanga anatakiwa ashinde mechi ngapi ili atangaze ubingwa?
 
InshaAllah!Na iwe hivyo.
NB;Hivi kwa nini SSC haijawahi kutundika mabango kwa kuwachabanga vyura 5-0,6-0,4-1 nk?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Asipoteze Tatu apoteze mbili tu na kusuluhu 2.
Kwisha habari
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Kimahesabu ni sahihi, ila kiuhalisia ni ngumu, simba ajipange safari inayofata
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania

Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.

Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.

Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Yanga tukose point 4 kwa michezo iliyobaki!
 
hivi imesalia michezo mingapi kwa kila timu kuhitimisha ligi 🐒
 
Back
Top Bottom