Recent content by TaiPei

  1. TaiPei

    Tundu Lissu ni mpotoshaji tangu zamani, akikuambia leo ni Jumapili jaribu pia kuangalia vizuri kalenda yako

    Je, Hii Elimu Bure kutoka chekechea mpaka kidato Cha Sita wanaosoma ni Wazanzibar? Case closed,
  2. TaiPei

    Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

    Kwa Kafulila vipi mbona hujatoa comment orodha ni wanasiasa watatu
  3. TaiPei

    KENYA: Hizi ndizo salamu za Mei mosi za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu. Mishahara, madeni ya wafanyakazi na kikokotoo ndani

    Tanzania inahitaji mtu kama huyu tena ni budi akakaa miaka mingi madarakani
  4. TaiPei

    KENYA: Hizi ndizo salamu za Mei mosi za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu. Mishahara, madeni ya wafanyakazi na kikokotoo ndani

    Kumbe Mama Yuko kututafutia mapesa pingapinga FC wakazusha amekimbia
Back
Top Bottom