Abrams
Senior Member
- Apr 27, 2024
- 105
- 140
To me Kafulila is the best japo sio mwanasheria ila anajua siasa vizuri za UpinzaniNi Mimi Kafulila au sijaelewa?
Hao wote niliowataja wamepambana na Lissu kwa hoja mara kadhaa nenda Kagoogle.
To me Kafulila is the best japo sio mwanasheria ila anajua siasa vizuri za UpinzaniNi Mimi Kafulila au sijaelewa?
Hao wote niliowataja wamepambana na Lissu kwa hoja mara kadhaa nenda Kagoogle.
Kabudi huyu anayetoa macho huku ute ute mweupe ukimtoka mdomoni kwa kufokea watu? Kipindi cha jiwe ndo tulimjua ni kwa namna gani yule mzee ni empty set!L
Hakuna hapo. Labda kwa mbali Prof Kabudi kwa sababu na yeye anaijua vizuri historia kama Tundu Lissu
Hao wengine vilaza tu
Sasa hoja kama ya Muungano Wenye matege utakuja na hoja gani watu wakuelewe?Kabudi atamnyoosha sana
Waliompa Uprof ni wehu?Acha kuota mchana
Professor hapo nani?
Hakuna wa kumshinda Lissu na hoja amini hivyo.
Hakuja hoja pale ni ujanjaujanja tuSasa hoja kama ya Muungano Wenye matege utakuja na hoja gani watu wakuelewe?
Upo Sahihi Ndani Ya CCM Kwenyewe Hakuna Mwenye JibuHakuna mwana CCM anayeweza kuleta majibu yanayoelewa na kukubaliwa na wengi kuwa ni majibu kwenye issue ya Muungano.
Nielewe nikisema hakuna. Issue ya Muungano hata tumkodi Malaika kutujibia hawezi akaeleweka.
Wewe tu ukiulizwa kwa nini Mzanzibar anakuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika na mtanganyika hawezi kuwa mkuu wa Wilaya Zanzibar unaweza kujibu?
Hapo halijawekwa suala la umiliki wa ardhi!
Kwani ndanj ya CCM Kuna kichaa?Upo Sahihi Ndani Ya CCM Kwenyewe Hakuna Mwenye Jibu
Duh..Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
We una akili kama za mifugo! Nani mwehu? Angekuwa mwehu mngekuwa mnatafutana mwenye uwezo wa kujibu hoja zake na hamumpati? Kuanzia #1 hadi machawa wote mna haha tuu!Kafulila sijui kwanini CCM haimtumii huyu jamaa nakumbuka wakati wa JPM alininyooshea balaa huyu mwehu
EeeehWote uliowataja hakuna mwana-CCM hapo.
ongeza MakondaLissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua.
Anahitaji kujibiwa vile anavyokuja akija kihuni anajibiwa kihuni akija kisomi anajibiwa kisomi.
1. Prof Palamagamba Kabudi
2. Hamprey Polepole
3. David Kafulila
Kwa Kafulila vipi mbona hujatoa comment orodha ni wanasiasa watatuHuna adabu
1]kabudi alishapingwa hajawahi jibu ,alipojibiwa kuhusu kubagazwa nchi ,lisu akasema kabudi anachamganya kati ya nchi na serikali
Kabudi ,uwakili alipewa wa heshima na hajawahi fault,ngumu lisu alifaulu
Polepole ,kwa lisu sisawa ,chamana hana labda aendelee kula maisha ya ubaloz
Samahani ,kafulila kalelewa na Zito kabwe ,kama zito kabwe hajibu hoja za lisu kafulila mnataka afanye nnKwa Kafulila vipi mbona hujatoa comment orodha ni wanasiasa watatu
Wewe unaielewaje issue ya muungano km anavyoisema Lissu, kuna uongo? au kuna upotoshaji..kuna vitu ambavyo watu hawaelewi kuhusu muungano na hivyo Kabudi ataviweka sawa? Km nini kwa mfano..Ni Mimi Kafulila au sijaelewa?
Hao wote niliowataja wamepambana na Lissu kwa hoja mara kadhaa nenda Kagoogle.
Kwani Zitto chama chake kinashambuliwa na LussuSamahani ,kafulila kalelewa na Zito kabwe ,kama zito kabwe hajibu hoja za lisu kafulila mnataka afanye nn