KENYA: Hizi ndizo salamu za Mei mosi za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu. Mishahara, madeni ya wafanyakazi na kikokotoo ndani

Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ukurasa wake wa Whatsapp ameandika haya,
👇👇
====
View attachment 2978368
" Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;-

1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa Afrika,

2. Kuimarisha usambazaji umeme vijijini, eneo ambalo pia Tanzania ni moja ya nchi bora zaidi kwenye ukanda huu wa bara letu,

3. Kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama, na

4. Kuanza kwa miradi mikubwa ya kudhibiti mafuriko hasa katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo mpango wa uboreshaji wa Bonde la Mto Msimbazi ili kudhibiti mafuriko ya mara kwa mara (Msimbazi Basin Development Project).

Katika hotuba yangu nimesisitiza kuwa na sera bora za kifedha toka mashirika ya kimataifa kwa bara letu, zenye masharti na gharama nafuu, zinazotazama kuongeza uwekezaji katika kukuza rasilimali watu na teknolojia na kujikita zaidi katika kukuza uwezo wa kuongeza idadi ya mipango inayotekelezwa kati yake na nchi washiriki"

Pamoja na hayo pia ametuma salamu zake za meimosi kwa Watanzania,

Hivi ndivyo alivyosema
,👇👇
View attachment 2978370
"Kheri ya Siku ya Wafanyakazi kwenu nyote. Siku hii ni ya mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni kwa sote kuwashukuru wale ambao kwa kazi zao sisi kama Taifa tunaweza kusonga mbele; kuanzia dada wa kazi hapo nyumbani anayeamka mapema alfajiri kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa, hadi daktari anayehakikisha tunapata tiba pale tunapokuwa na changamoto ya maradhi. Tunawashukuru nyote katika kila kona ya nchi yetu. Ahsanteni kwa kazi.

Jambo la pili, leo pia ni siku ya kurudia ahadi yetu kwenu. Ahadi ambayo kila wakati tumekuwa tukiitoa na kuitekeleza kadiri tuwezavyo. Ahadi kwamba kama Serikali tutaendelea kutekeleza jukumu letu la msingi kuhakikisha mazingira ya kazi yanazidi kuwa bora zaidi kwa kila mmoja si tu mishahara, bali pia haki katika maeneo ya kazi, kupanda madaraja kwa wakati, kupata stahiki sahihi na uboreshaji wa mifumo yetu ya pensheni."
Mama Samia we love you, Tuko na wewe daima,
 
Tanzania inahitaji mtu kama huyu tena ni budi akakaa miaka mingi madarakani
 
Tanzania inapendeza sana
 
Naona chawa mnajifariji wenyewe kwa wenyewe🤣🤣
Ila ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa hapa hakuna kitu...hakika uchawa ni utumwa uliorejea kwa staili tofauti!
 
asante kwa taarifa
 
Mama chapa mwendo kelele hazijawahi kuisha ndani ya Taifa
 
Back
Top Bottom