Recent content by namba moja tuu

  1. namba moja tuu

    Ombi kwa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuipa umuhimu Mechi ya Simba na Al Ahly

    Naomba kujua code za kubonyeza kwenye mita namba ili niweze kupata mita namba
  2. namba moja tuu

    Naomba ushauri juu ya afya yangu

    Ni takribani wiki sasa inapita napatwa na dalili hizi 1. Muwasho sehemu za siri kwenye uume na pumbu zinapata zinapata vipele flani havijai maji ila nikivikuna vitamu sana nasikia raha sana mpaka natoka michubuko. 2. Muwasho matakoni karibia na msingi najikuna sana mpaka matako yamechubuka. 3...
  3. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Nawashukuru wana jamvi mliohusika kwenye ushauri wenu baadhi ya point zenu zimenisaidia nimeacha na yule shangingi sasa naendelea kupambana nile jasho langu Ushauri kwa vijana wenzangu tulizike na vipato vyetu tuwe wabunifu katika kujikwamua kimaisha
  4. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Mkuu hata kama mizagamuo ipo sasa lazima kujua ABCD
  5. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Mkuu kwenye mahusiano kuna uwezekano ukaanza na mzaa ila as the days go unajikuta unawivu na mengineyo ndomana nikalileta hapa ili nipewe maarifa
  6. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Kwahiyo nimeingia cha kike asee na changu qqmake dah
  7. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Nakubaliana na mwanajamii mmoja inawezekana akawa drug dealer manake hata sielewi maokoto anayo sana chanzo chake hata sielewi
  8. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Umenistua hapo asee sikufikiria hili jambo qqmake dah kuna mjamvi mmoja kasema ataniachia kesi kule juu linataka kufanana na hili asee asante sana nafunguka sasa nashukuru sana
  9. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Sijakataa ushauri ila najaribu kudefend ili nipate mawazo mengi na tofauto zaidi nikisema nikubali tu mapema zisinge fika reply zaidi ya 30 hivyo napatia taratibu napata maoni na mawazo then nafanya maaumuzi
  10. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Maokoto tumezidiana mkuu sio kosa kuzidiwa maokoto na mwenzi wako mbona unaenda viral sana
  11. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Unataka kusema wapo wangapi mbona unataka kuleta kitandawili mkuu
  12. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Ila kwenye jambo la umalaya tangu nipo nae sijawahi kumfuma na simu kila kila nikiangalia sioni hizo mishe za kunicheat ila muonekano wake tu ndo unanipa wasiwasi
  13. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Kwenye jambo la kupelekeshwa nimeficha tu ila dah ijapokua kuna maokoto ya kutosha sana yani
Back
Top Bottom