Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,144
- 1,963
Kaa nae muulize anataka nini kutoka kwako, ni ndoa ama urafiki tuIla kwenye jambo la umalaya tangu nipo nae sijawahi kumfuma na simu kila kila nikiangalia sioni hizo mishe za kunicheat ila muonekano wake tu ndo unanipa wasiwasi