Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

Ila kwenye jambo la umalaya tangu nipo nae sijawahi kumfuma na simu kila kila nikiangalia sioni hizo mishe za kunicheat ila muonekano wake tu ndo unanipa wasiwasi
Kaa nae muulize anataka nini kutoka kwako, ni ndoa ama urafiki tu
 
Mbona mshauriwa mwenyewe kama hakubali ushauri ama mnaelewaje comments na reply 😂 huyu mjamaa tumuamshe na makofi nini like hayupo kabisa
 
Swali la msingi ni kwanini upo nae? after everything u have told us nakushangaa wewe zaidi ya ninavyomshangaa yeye, she is not the problem u are. Kwasababu umeingia kwenye mahusiano nae wakati mtizamo wake tu ulikutia mashaka, na umeendelea kuwa nae wakati mambo yake mengine tena ya msingi yanatia mashaka zaidi. My take ..... anaweza kuwa jambazi au muuza unga, shauri yako
 
Mbona mshauriwa mwenyewe kama hakubali ushauri ama mnaelewaje comments na reply huyu mjamaa tumuamshe na makofi nini like hayupo kabisa
Sijakataa ushauri ila najaribu kudefend ili nipate mawazo mengi na tofauto zaidi nikisema nikubali tu mapema zisinge fika reply zaidi ya 30 hivyo napatia taratibu napata maoni na mawazo then nafanya maaumuzi
 
Swali la msingi ni kwanini upo nae? after everything u have told us nakushangaa wewe zaidi ya ninavyomshangaa yeye, she is not the problem u are. Kwasababu umeingia kwenye mahusiano nae wakati mtizamo wake tu ulikutia mashaka, na umeendelea kuwa nae wakati mambo yake mengine tena ya msingi yanatia mashaka zaidi. My take ..... anaweza kuwa jambazi au muuza unga, shauri yako
Umenistua hapo asee sikufikiria hili jambo qqmake dah kuna mjamvi mmoja kasema ataniachia kesi kule juu linataka kufanana na hili asee asante sana nafunguka sasa nashukuru sana
 
Kama siyo mke kula maisha acha kufuatilia mishe zake..ila kama plan awe mke KIMBIA HARAKA SANA HAKUNA MKE HAPO
 
Kama siyo mke kula maisha acha kufuatilia mishe zake..ila kama plan awe mke KIMBIA HARAKA SANA HAKUNA MKE HAPO
Nakubaliana na mwanajamii mmoja inawezekana akawa drug dealer manake hata sielewi maokoto anayo sana chanzo chake hata sielewi
 
Sijakataa ushauri ila najaribu kudefend ili nipate mawazo mengi na tofauto zaidi nikisema nikubali tu mapema zisinge fika reply zaidi ya 30 hivyo napatia taratibu napata maoni na mawazo then nafanya maaumuzi
Sawa mkuu
 
Majibu yote yako hapa.

Ni takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi kila simu yake ikipigwa anatoka nje kabisa au tukiwa chumbani anatoka sebuleni kuongea maongezi,
 
Kwahiyo nimeingia cha kike asee na changu qqmake dah
 
Ni takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi kila simu yake ikipigwa anatoka nje kabisa au tukiwa chumbani anatoka sebuleni kuongea maongezi, kinachonistua zaidi maongezi yake yamejaa kutaja majina ya Afande fulani, washa gari nendeni sehem fulani.

Simu za usiku wa manane haziishi mara muda mwingine nikistuka najikuta nipo kitandani peke yangu nikitoka nakuta yupo nje anaongea na simu nikijaribu kunyata na kusikilza nasikia maongezi ya stahili hiyo mara chukua magazini kadhaa muondoke nazo.

Baada ya kuona hivyo nilifanya uchunguzi wangu kiitelijensia nikatumia mbinu za Delila kujua password ya simu yake iphone 14 pro max nikafanikiwa siku kaenda kuoga nikatumia muda huo kuangalia majina hayo sikuona jina hata moja la polisi yoyote wa afande flani naona majina mbele yamejaa makopa kopa tu na maua na majina ya watu wa kwenye vikoba vyake kama (aisha upatu, mwajuma kikoba, rose kijumbe) majina tajwa ni mifano tu yalivyoseviwa hivyo.

Kazi yake aliniambia mwanasheria lakini sioni hata dalili za uanasheria pale nikimwambia nije ofisini kwako nikuone hataki, kuna siku nilimuliza kazi yake kamili nilipatasha vitisho hatari na nikijaribu kumuliza swali hilo tena naweza kila makofi na mapenzi kuvunjwa sasa wanajamvi kinachonipa maswa na kuomba ushauri ni kuwa inaweza kua ni
1. Kahaba professional kulingana na muonekano wake?
2. Au kitengo kwenye mambo ya usalama
3. Au kweli mwanasheria manake haelewiki anakula pombe hata kreti mbili anaweza kula pombe siku tatu nzima.

Kwa watalamu wa haya mambo kuwadetect watu wanijuze nisije kua nimeingia kwa mtu wa kitengo au kahana professional vikuku vinanitisha sana.
Mim naona tatizo lipo kwako kwanza kwann upo na mtu usiye mwamini au humfahamu? Pili wew ni mchumba wake au spay ...... kama mtu humwelewi simply si una move on ...... kama yeye ndo ana simamia show ya maswala ya msosi na pesa za kula vunga ...... usitafte tatizo ukiwa huna uwezo wa kukabiliana nacho
 
PApuchi si unapata mzee, mengine achana nayo, akiileta izagamue vizuri, vunga.
 
Mim naona tatizo lipo kwako kwanza kwann upo na mtu usiye mwamini au humfahamu? Pili wew ni mchumba wake au spay ...... kama mtu humwelewi simply si una move on ...... kama yeye ndo ana simamia show ya maswala ya msosi na pesa za kula vunga ...... usitafte tatizo ukiwa huna uwezo wa kukabiliana nacho
Mkuu kwenye mahusiano kuna uwezekano ukaanza na mzaa ila as the days go unajikuta unawivu na mengineyo ndomana nikalileta hapa ili nipewe maarifa
 
Mmpe majaribu, kwanza Marufuku kunywa pombe, pili usiku mkiwa wote lazima azine simu, tatu Mwambie wewe unamkubali sana yule bwana wa Sumbawanga aliyevuta mke tatu ndani ya Siku Moja, kama Yuko tayari kwenda na huo mpango. Mwisho si una access ya simu yake chukua number check majina, fanya kama unatumia pesa.

NB. Fanya mazoezi au ingia Gym Siku si nyingi vibao vitakuhusu.

Tahadhali: nimekupa ushauri huu tu, kwasababu unaonekana kutafuta njia ya kupotea.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom