Mr Alpha
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 195
- 522
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate
Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.
Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini