Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

01savag

Member
May 24, 2023
28
56
Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu.
Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila nitashukuru kama mtanisoma mpaka mwisho;

Ni saa 9 za usiku usingizi unatoweka ghafla,Nasikia sim kwa mbali inajirudia nyimbo hizi talking to the moon,impossible,dancing with your ghost etc. Kichwa nacho kinauma kama nimepatwa na maleria kali.
Naamua kukaa kitandani swali la kwanza linakuja "nina shida gan ?". Mbona nilikua nafuraha sana mchana wa jana, iko wapi tena iyo furaha ? Nin kimetokea usiku ?.
Jibu la kwanza linakuja kunizodoa "usijisahaulishe jana umeachwa tena". Sasa picha ndo linaanza kuja taratibu, ilikua hivi sasa

Mwaka juzi nilizama kwenye dimbwi la mapenzi kwa namna ya kipekee, mpaka nikawa najilaum imekuaje nimechelewa kumjua uyu mtu. Siwezi kuelezea namna nilivyopenda ila kiufupi nilipindukia. Huyo mtu alikua rafiki yangu kwaiyo haikua kazi ngum kupata mda wa kumweleza namna navyojisikia. La haula!

Kwa ugeni nilionao kwenye hayo mambo sikujua kama ukiiambiwa sina jibu la kukupa nalo ni jibu, yani mtu akuambii kama amekukubal au amekukataa. Nimekuja kuelewa baadae sana kwamba inamaanisha sitaki kuwa na mahusiano na wew ila siwez kukuambia kwa sababu napenda tuwe marafiki.

Sijaelewa kwanin asingenieleza kuwa anataka urafik tu kutoka kwangu. Nilipoteza miaka miwil kuwa nae karibu, nilimuwazia kama mpenzi nikamtreat kama mpenzi. Feed back loop from hell ikazidi kuniaminisha kuwa ni mpenzi wangu mpaka nikaplan niweke mambo sawa nikamchumbie. Long story short, haya mahusiano yalikata baada ya yeye kusafir kikazi, aliporud akaanza kunisumulia jamaa aliyekutana naye uko na mipango yao ya kuoana.

I was like what the f*ck is this, kwamba hatukua kwenye mahusiano ya mapenzi. Mbona hadi ilifikia hatua ya kuja kulala kwangu tena kwa hiari yake nasio mara moja. Kama ni kuonewa huruma ndo kwa namna gan uku?. My first reaction nilimwambia nahitaj space kidogo, nikamuitia boda impeleke kwao mana mda ananiambia alikua kwangu. Nikamuwish all the best, nikafuta na namba baada ya kuagana nae. Na hiyo ndo ilikua heartbreak yangu ya kwanza, na ndo inanipiga till now. Nikawa kama nimechanganyikiwa nikaanza kwenda club kila jmos usiku, kila jpil huwa naamka na mtu nisiyemjua na habar za kumjua zinaishia nikashamcash, hapo ni either tubahatishane tena next week au nipate mwingine.

Sikua na mpango tena wa kupenda tena mtu mwingine, unfortunately nikapata kazi ambayo nilikua frontline kwenye customer interaction.
Hapo nilikua nishasoma vitabu kadhaa vya human relation, communication, psychollogy na sales kama vile how to win friends and influence people, how to sell anything, subtle art of not giving a https://jamii.app/JFUserGuide, surrounded by idiots etc.
Nilijikuta nimekua mtu wa kujitoa kwa wateja, nawapa mda wa kuwasikiliza mana najua wanapenda kusikilizwa, nikipata opportunity nawapa appreciation. Nikajikuta baadhi ya wateja wameanza kuwa marafiki yani wananitafuta nikiwa free tunatoka kutembea, wengine wakafika hadi hom namimi nikafika makwao.

Tukawa tunaongelea hadi vitu personal na sio biashara tena. Hapo sanasana ilikua kwa wadada, na nilikua nayafanya yote nikiwa nimetanguliza heshima kwanza mana najua "mteja hatongozwi".
Katika wote nilikutana na mdada mmoja wa tofauti, yeye ilikua baada ya kuniambia yake alianza kunipa mimi nafas ya kuongea tena akionyesha kutaka kujua(interest) kwa kiwango cha juu kuliko mimi. Mwanzo nilikua siongei vitu ambavyo nilivizika na nikavifungia moyoni kwangu lakin ilikua siku had siku nazid kujaa kwenye 18 zake.

Mpaka nikajikuta nimeongea yote akanipa pole, na akawa anazid kunifanya nijione nina thaman. Nayeye akanambia yake tukazid kuzoeana. Ikawa karibu kila siku lazima apite kunisalimia, asipopita nilikua naona kuna kitu akijakamilika. Yote yanaendelea nikawa napata mtiririko wa maswal kichwani " je ni kwel nampenda huyu mtu au ni hal ya mda mfupi mana bado sijapona majeraha ya kupotezewa mda", "Ni kweli hayotojirudia tena yaliyotokea kwenye mahusiano ya kwanza", "kwa tabia niliyonayo sasa ni kwel namstahili huyu mtu" maswali yakawa meng sana ukiongeza na heshima kwa mteja sikuweza kumwambia kitu. Na mbaya zaidi kupunguza ukaribu ikawa siwezi tena, addiction kwa huyu mtu ilizid kuongezeka.

Niseme tu ukwel sijawai kuona mtu kama yeye, mtu kama maliaka ni mzuri, anajal, muelewa, mcheshi, pia akili za darasani zimelala hapo gpa yake nilibahatika kuona inasoma 4.0 diploma. Kwenye maisha pia ni fighter mana yupo mwaka wa kwanza lakin ashaanza kwenda kutafuta miradi. Kuna siku nilimpa hela akienda town aniletee sweta mana mimi nilikua busy kutoka, kwa hela niliyompa nikajua ataleta moja la janja janja then inayobaki aipige juu kwa juu. Cha ajabu alirud na mawil mazur akasema alipata ya mtumba kwa bei nafuu.

Baada ya kutafakari mda mrefu nikaona liwalo na liwe natafuta weekend moja nionane nae private nimweleze. Mpaka hapo nilidhamiria kujaribu tena, nikawa tayari kuacha tabia zote za ovyo nilizozianza.
Ndipo sasa tunarejea kwenye kilichotokea jana usiku. Nilikua nimetulia baada ya pilika za siku nzima nile nilale sasa, kabla ya yote nichek status za whatsapp kwanza ili nione wenzangu wanaeka nin uko mana ni mda sijaangalia. Nikakuta huyu bidada naye kaeka moja, nikaamua nianze nayo yenyewe. Siyakumbuki maneno yote yaliyopo pale ila yalikua ni maneno ya mtu mwenye furaha baada ya kuvishwa pete ya uchumba. Ham ya kula ikaishia hapo, ratiba ya muvi sikujua niliikatishaje mana ndo ulevi wangu mkubwa.Nikaeka playlist yangu pendwa ambayo nilishaanza kuiacha.

Ndio nimeamka saa 9 na kuandika haya yote. Sijui natakiwa kufurahi mana labda amepata mchumba mwaminifu pia mimi nilikua nataka kujaribu na huenda mambo yasingeenda vizuri, au nihuzunike kwa kua ni kama nakosa kipendacho roho , nasijui nitakua kwenye mood gani tukionana tena. Kiufupi sijui hata nireact vip ila moyo unaniuma sana nadhani kuliko heartbreak ya kwanza. Tena naona na text zake za salamu zimeingia saa 5 usiku.

Note; Bado ninaurafiki na aliyeniacha mwanzo mana nilisamehe nikaona uenda hakua na lengo baya zaidi ya kunionea huruma tu.
 
Hapo nilikua nishasoma vitabu kadhaa vya human relation, communication, psychollogy na sales kama vile how to win friends and influence people, how to sell anything, subtle art of not giving a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala, surrounded by idiots etc.

Sasa kwa Nini unasikiliza nyimbo zinazosapoti feeling za masononeko?. Una umri gan mkuu
 
Tafuta habari ya afisa kilimo wa kule Kibara Bunda kwanza,ukimaliza kuisoma niite.
 
Back
Top Bottom