Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Piga chin sio dalili nzur
 
Mwanamke anaweza akawa na mahusiano na Me mwingine endapo...
1.HAKUPENDI.
2.HAPATI HUDUMA TOSHELEVU FROM YOU(Mostly sexual intercourse).
3.ANA TAMAA (Material things or yuko demonized)
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Mr.Alpha Nakuita mara 3 Upoo! Dalili ya Mvua ni nini?
Au unataka mvua ikunyee kama hii ya Daslade
 
Habari ndugu,
Mwanaume ndyo mchunga na kiongozi Kwa mwanamkee, haya ni maneno ya Mungu kwenye kitabu. Kama mwanamke anapata ujasiri wa kukujibu hvyo lkn pia kukumbuka mahusiano ya nyuma huyo hakufai tenaa...wachana na huyo mwanamke bado mapema Ili asije kuharibia mfumo wa Maisha yako mdogo wangu hapo baadae.huyo bila kupepesa ni Malaya.......,pole sanaaa ndugu.
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Simple. Kimbia kabla haujapata majanga aidha kujiua, kupata matatizo ya akili, ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa, kuchacha, kuharibu kazi, kuuwa ......
KIMBIA LEO LEO DOGO ...
UTAKUFA...
 
Hili halihitaji ushauri, hili linahitaji faraja tu. Pole sana Mkuu. Karibu jumuia pendwa ya KATAA NDOA.
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Piga chini. Usipofanya hivyo, atakuumiza kila kukicha, hasa hapo kwenye kuwa na uwezo wa kuwa na wanaume 10..!!
 
Ivi hapo Kuna haja ya kukushauri nn cha kufanya kweli??? Be serious man huyo sio mke wa kuoa huyo
 
Kujikwaa Sio kuanguka babu. As long as mpo kwenye mahusiano hamjaoana baas Kuachana na yenyewe Imoo. Kama kweli hayo ndo majibu bro hakuna Mapenzi hapo Timka zako mwanetu
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Wanaume wengine mnatuaibisha hili nalo mpaka ushauriwe.
Muoe huyo ndio Mke mwema atakufaa maishani.
Shenz type.
 
Back
Top Bottom