Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

Ni takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi kila simu yake ikipigwa anatoka nje kabisa au tukiwa chumbani anatoka sebuleni kuongea maongezi, kinachonistua zaidi maongezi yake yamejaa kutaja majina ya Afande fulani, washa gari nendeni sehem fulani.

Simu za usiku wa manane haziishi mara muda mwingine nikistuka najikuta nipo kitandani peke yangu nikitoka nakuta yupo nje anaongea na simu nikijaribu kunyata na kusikilza nasikia maongezi ya stahili hiyo mara chukua magazini kadhaa muondoke nazo.

Baada ya kuona hivyo nilifanya uchunguzi wangu kiitelijensia nikatumia mbinu za Delila kujua password ya simu yake iphone 14 pro max nikafanikiwa siku kaenda kuoga nikatumia muda huo kuangalia majina hayo sikuona jina hata moja la polisi yoyote wa afande flani naona majina mbele yamejaa makopa kopa tu na maua na majina ya watu wa kwenye vikoba vyake kama (aisha upatu, mwajuma kikoba, rose kijumbe) majina tajwa ni mifano tu yalivyoseviwa hivyo.

Kazi yake aliniambia mwanasheria lakini sioni hata dalili za uanasheria pale nikimwambia nije ofisini kwako nikuone hataki, kuna siku nilimuliza kazi yake kamili nilipatasha vitisho hatari na nikijaribu kumuliza swali hilo tena naweza kila makofi na mapenzi kuvunjwa sasa wanajamvi kinachonipa maswa na kuomba ushauri ni kuwa inaweza kua ni
1. Kahaba professional kulingana na muonekano wake?
2. Au kitengo kwenye mambo ya usalama
3. Au kweli mwanasheria manake haelewiki anakula pombe hata kreti mbili anaweza kula pombe siku tatu nzima.

Kwa watalamu wa haya mambo kuwadetect watu wanijuze nisije kua nimeingia kwa mtu wa kitengo au kahana professional vikuku vinanitisha sana.
Huyo jibu ni no 1 , na uhakika zaidi niambie wewe ukoje una mishe gani kimaisha kipato na kazi, ameweka cover ili umpe gape hata akiwa na wewe afanye yake na wewe uendelee kukaa ila umuogope na yeye akumiliki. Akili hiyo.
 
Naishi kwake kwangu aligoma kuja kwakua ni uswahilini hapendi kuishi changanyikeni
Huyu Malaya wa dau kubwa, pesa anayo na pia ni dalali wa network za mademu wakali, anakula kamisheni huyo. Wewe ni Mario tu au kighasti ndiomana umekubali shoo zake za kipesa hasa Bata analokupa
 
Ni takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi kila simu yake ikipigwa anatoka nje kabisa au tukiwa chumbani anatoka sebuleni kuongea maongezi, kinachonistua zaidi maongezi yake yamejaa kutaja majina ya Afande fulani, washa gari nendeni sehem fulani.

Simu za usiku wa manane haziishi mara muda mwingine nikistuka najikuta nipo kitandani peke yangu nikitoka nakuta yupo nje anaongea na simu nikijaribu kunyata na kusikilza nasikia maongezi ya stahili hiyo mara chukua magazini kadhaa muondoke nazo.

Baada ya kuona hivyo nilifanya uchunguzi wangu kiitelijensia nikatumia mbinu za Delila kujua password ya simu yake iphone 14 pro max nikafanikiwa siku kaenda kuoga nikatumia muda huo kuangalia majina hayo sikuona jina hata moja la polisi yoyote wa afande flani naona majina mbele yamejaa makopa kopa tu na maua na majina ya watu wa kwenye vikoba vyake kama (aisha upatu, mwajuma kikoba, rose kijumbe) majina tajwa ni mifano tu yalivyoseviwa hivyo.

Kazi yake aliniambia mwanasheria lakini sioni hata dalili za uanasheria pale nikimwambia nije ofisini kwako nikuone hataki, kuna siku nilimuliza kazi yake kamili nilipatasha vitisho hatari na nikijaribu kumuliza swali hilo tena naweza kila makofi na mapenzi kuvunjwa sasa wanajamvi kinachonipa maswa na kuomba ushauri ni kuwa inaweza kua ni
1. Kahaba professional kulingana na muonekano wake?
2. Au kitengo kwenye mambo ya usalama
3. Au kweli mwanasheria manake haelewiki anakula pombe hata kreti mbili anaweza kula pombe siku tatu nzima.

Kwa watalamu wa haya mambo kuwadetect watu wanijuze nisije kua nimeingia kwa mtu wa kitengo au kahana professional vikuku vinanitisha sana.
Wakati unatupia nyavu ulitushirikisha?

Naunga mkono hoja yake kuwa ukiendelea kumfata fata akunase vibao na magazini kadhaa🤣
 
Nawashukuru wana jamvi mliohusika kwenye ushauri wenu baadhi ya point zenu zimenisaidia nimeacha na yule shangingi sasa naendelea kupambana nile jasho langu

Ushauri kwa vijana wenzangu tulizike na vipato vyetu tuwe wabunifu katika kujikwamua kimaisha
 
Chukua vipimo kama viko sawa basi mpe mimba tuu, yale mauzi ya mimba yatamfanya awe mpole tuu, akishajifungua hakikisha anapumzika muda mfupi sana kisha mpe mimba nyingine kabla mwaka haujaisha, hapo ujanja wote kwisha lazima atulie

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom