Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza la SITA watafaulishwa wote kuingia kidato cha Kwanza kulingana na competence ya mtoto.
Sasa sijui mnakwama wapi kutupa muongozo na kutujengea shule mpya kila kata ili watoto sasa waache kuteswa kutoka usiku Sana kwa kisingizio cha darasa la nne wakati Mataala unaonyesha ni kusoma kama shule za international watoto wapimwe kwa competence sasa.