DOKEZO Serikali imetangaza mabadiliko ya Mtaala wa kuishia Darasa la 6 lakini hakuna vitabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Huu Mtaala mpya unaohusu Watoto kuishia Darasa la Sita hakuna vitabu hata kimoja mpaka leo tangu Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda alipotangaza juu ya mabadiliko hayo.

Kila tukiuliza wanasema tutumie vitabu vya kwenye Mtandao, hivi kutoka January mpaka sasa wameshindwa kugawa vitabu hata kimoja kimoja tu kila shule?

Mimi ni Mwalimu nipo Mkoa wa Pwani kwa kweli inasikitisha.
 
Back
Top Bottom