X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,817
View attachment 3107
Fikiria... umetoka kazini, upo hoi kwa uchovu wa mchana kutwa. Baada ya pirika pirika za kuikimbiza shiringi. Umerudi home unakuta hali ndo kama hiyo.
Ukiwa wewe ndiye mzazi wa hawa watoto utafanya nini...!?