Hermanx

Senior Member
Sep 22, 2022
130
249
Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!.

Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI
Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi ya bando la data, fanya hivi uweze kujipatia kipato ambacho risk ya kupoteza hela ni ndogo sana na faida ni kubwa.

Chukua router ambayo ina unapewa na bando unlimited ambayo tunaiuza kwa sh. Laki moja tu. router hii kila mwezi utakua unalipia laki moja, inauwezo wa KUCONNECT watu 65 kwa wakati mmoja.

so wewe ukishainunua waambie watu kua utakua unawakonnect free WiFi kwa mwezi wanakulipa sh. 10k tu.

Mfano kwenye eneo lako ukipata watu wa uhakika 20 tuu unakua umepata faida ya laki moja kwa mwezi na pia wewe umepata faida ya kua online kila wakati. Na hii nimewekea kiwango cha chini sana ila unaweza hata kupata watu 40 na kuendelea kutokana na eneo ulilopo.

Kama uhitaji utakua mkubwa zaidi unaweza ukachukua router kubwa zaidi unayopewa na speed kubwa zaid, mfano ipo ya 150k, na 200k

SOKO:
Soko ni la uhakika mana watumiaji wa bando la data ni wengi, hakuna mtu utakayemuambia atoe 10k kisha awe anatumia data free mwezi mzima akakataa. Kama huamini jaribu kifanya utafiti kidogo tu, waulize watu waliokuzunguka kua; "unaonaje nikikupa bando la data mwezi mzima alafu uwe unanilipa elfu kumi?" Majibu utakayopata yatakupa picha halisi ya faidaunayoenda kupata. Pia speed ya mtandao kwenye router hizo ni kubwa hivyo itawavutia watu wengi.

UTAPATA WAPI HICHO KIFAA CHA WI-FI(ROUTER)?

Router hizo nitakuuzia mimi na NAKULETEA HADI ULIPO POPOTE TANZANIA FREE DELIVERY.
Malipo ya kifaa yanalipiwa moja kwa moja kwenda tig0 kwa utaratibu nitakaokupatia, utaratibu huo wa kufanya malipo ni utaratibu rasmi, unaweza hata kuuliza watoa huduma kujiridhisha, pia kama tukielewana vizuri unaweza hata kulipia baada ya wewe kupata huduma kamili. ukiwa na swali lolote usisite kuuliza nikupe ufafanuzi!

NICHEKI TUANZE BIASHARA: 0717700921
 
Hivi kwanini vijana wa kizazi hiki kinawaza kupata hela kiusafiusafi? (White collar job)? Yaani ukiwa umechomekea mkanda nje uko na kalatop kako unapiga hela? Kama janja ya Forex trading? Jidanganye!! Yaani mtandao wa simu ukupe bundle ambalo nawewe unaweza kuwauzia ukapata faida ukiwa kimjinimjini? Hela hiko kwa kuhustle! Huwezi pata hela kirahisi rahisi vinginevyo utapoteza marinda
 
Mkuu nikweli nimetoa wazo
Huu ndo Mfano halisi wa ule msemo wa 'ukiitwa kwenye fursa, ujue wewe ndo fursa
Kwenye kufanya jambo lolote lazima uangalie zaidi faida kwa upande wako itakua ni ipi na sio kubania kutotaka mwingine afaidike na jambo unalodanya, kwenye hii fursa niliyoleta as wazo la biashara, utakaponunua kifaa utanufaika na faida kama nilivyoeleza na mm nitanufaika na kukupata wewe mteja wa router. Utaniuliza kwanini nisichukue hizo router nikaweka wifi mwenyewe nikapata faida? Maswali kama haya anaweza kuyauliza mtu asiye na ufaham kabisa wa business cycle. Biashara karibia zote zinakua na mfumo. Ukiuliza swali kama hilo na mimi nitakuuliza kua mfano biashara ya kuuza chakula(mgahawa nk.) Ikiwa inalipa je wauza mchele na ngano na sukari wote wawe mama ntilie!? Jibu nikua haiwezekani so mm naweza kukuuzia kitu , ili nipate faida ila nawewe una nunua kitu kutoka kwangu ili upate faida. Tunategemeana hivyo. Nakushauri kwa biashara hii fanya simple research. Then anza utakujanishukuru, uzuri huduma zangu nyingi wengi hata humu wanazifahamu, sina mbambamba, wale niliowaungia bando za tig0
Gb 5.5 kwa sh.7000
Gb 6.5 kwa sh. 8000
Gb 8 kwa sh. 11000
Gb 30 kwa sh 25000
Gb 35 kwa sh 30000
Gb 48 kwa sh 40000
Wananijua vizuri na hata saiv naunganisha kama yupo anaehitaji tuanze na hizi ndogo ili kujengeana uaminifu, anicheki 0717700921
 
Hivi kwanini vijana wa kizazi hiki kinawaza kupata hela kiusafiusafi? (White collar job)? Yaani ukiwa umechomekea mkanda nje uko na kalatop kako unapiga hela? Kama janja ya Forex trading? Jidanganye!! Yaani mtandao wa simu ukupe bundle ambalo nawewe unaweza kuwauzia ukapata faida ukiwa kimjinimjini? Hela hiko kwa kuhustle! Huwezi pata hela kirahisi rahisi vinginevyo utapoteza marinda
Mkuu utakua unaifahamu mitandao ya sim juu juu kama watu wengine wa kawaida ila kiufupi kila mtandao una vifurushi ambavyo wanaovifaham ni wachache, kuhusiana na hizo router za unlimited ninazokuambia , uzuri ni kua mimi sina mtandao wangu binafsi so wewe piga namba 1oo kwa T!G0 ulizia kama wanatoa hiyo bundle ya unlimited data ya mwezi kwa laki moja, ukiambiwa haipo njoo uwaproove wana JF wote hapa kua mimi ni muongo!
 
Sisi tupo na tower zetu za 75,000 nyumbani
Na 70,000 zuku kkoo. Unyama tu. Hii ya laki hii, kijana ipeleke dodoma au morogoro utapiga sana hela. Tena mm ningesambazia ng'ombe mwenyewe.
 
Kutumia huduma ambayo mtanda0 x unaitoa iwe kesi!? hii sio kweli mkuu
Kama hujui usibishe, Internet Service Provider,iwe voda,Sasatel,Tigo,hao ndio wenye haki ya kuuza Internet,wewe umeuziwa utumie sio uuze,kuuza ni kosa kisheria,

Unachosema wewe mfano uwe na Dish la DSTV,uwaunganishie mtaa mzima kupitia Decoder yako halafu wakulipe,unadhani Hilo sio Kosa???
 
Utaishia kugombana na watu bure tu, hii mitandao yetu Ina janja janga sana, watakuambia unlimited bundle ila wakishatumia gbs kadhaa ndani ya hata wiki speed ya bundle itakua slow kuzidi hata Kobe, hapo ndo watu wataruka na wewe kama mwewe
Sasa kuna kitu hujakijua vizuri hua mitandao mingi inakua na data behind yani mfano kwenye unlimited wanayokupa behinde wanakupa gb 100 kwa mwezi so hua zile gb 100 utakua na uwezo wa kuzitumia kwa 20mbps zikiisha gb 100 mtandao unashuka hadi 2mbps au 1mbps ambayo mkikonnect hata zaidi ya watatu tuu lazima mtandao uende speed ya kobe. KWA UPANDE WANGU, router ninazoziongelea hua zenyewe behinde unapewa Gbs ambazo zimewekwa kwa mfumo ambao ni daily bases, yani mfano kwa siku unaingiziwa gb 40 hizo zitakua zinaenda na speed ya 20MBps zikiisha ndani ya siku hiyo mtandao utarudi hadi 2 mbps, kesho tena 40gb zinatumika kwa speed ya 20mbps zikiisha mtandao utarudi hadi 2 mbps, advantage ya hii ni kua mpaka gb za kutumika kwa speed kubwa ziishe utakuta siku nayo inakaribia kuisha yan unakuta labda ni saa nne au saa tano usiku so ikifika tuu saa sita siku nyingine imeanza na gb za kutumika kwa speed kubwa zinakua zishakua active, so kama ni watu umewawekea hii wata kua na mda mchache sana wa kua na bando lenye speed ndogo kitu ambacho hata wao wanaweza wasishtukie kabisa. Mkuu sijakurupuka. Najua IN AND OUT kuhusiana na hizi Mambo. Mitanda0 pinzani mnisamehe kwa kutoa hii siri ambayo watumiaj wengi wa router hawaijui. Mwenye swali zaidi karibu niulize hapo chini au nipigie kwa no 0717700921
 
Kama hujui usibishe, Internet Service Provider,iwe voda,Sasatel,Tigo,hao ndio wenye haki ya kuuza Internet,wewe umeuziwa utumie sio uuze,kuuza ni kosa kisheria,

Unachosema wewe mfano uwe na Dish la DSTV,uwaunganishie mtaa mzima kupitia Decoder yako halafu wakulipe,unadhani Hilo sio Kosa???
Kama nimepewa nitumie mm tuu kwanini waweke uwezo wa kuconnect watu 65,😂 na nikiwachangisha watu ambao tunatumia wote wi-fi shida ipo wapi? Wakiingilia kua nisiwatoze hela watu tunaotumia wote internet watanilipia wao, kaka hua nipo nafanya kazi officially na wanaotoa hizo product na najua contract haijakataza jambo kama hilo, wewe umehisi tuu kua itakua hairuhusiwi ila ukweli haupo hivyo mkuu!
 
Sawa mkuu kila la kheri
 
Ila sikumbuki Kama wasema unaweza kulinganisha watu 65,nakumbuka wamesema unaweza ku connect DEVICE 65
 
Back
Top Bottom