Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,030
Baada ya kufanya tathmini ya Mipango ya mwaka 2024 na maandalizi yote, Watendaji wa JamiiForums walifanya ziara za kujifunza katika maeneo mbalimbali ya Utalii ikiwemo eneo la Hifadhi ya Ngorongoro

4.jpg


5.jpg


6.jpg


7.jpg


8.jpg


9.jpg


10.jpg
 
Nilisikia Jana Vijana wakisema JF nayo ina Pisi Kali.....Leo hata sikuhitaji kuvaa miwani yangu ya macho kuweza kuwaona 🤗

Hongera Max na Timu yako, you guys are doing incredible, very proud of you 👏👏👏👏👊
 
Mmezingua sana wajuba, inamaaana Wateja wenu tulioko hapa Jamvini mlishindwa hata kualika Mwanajamvi mmoja akatuwakilisha na sisi tukajiskia fahari kama wateja wenu.

Imagine hapo Ningemuona Pascal Mayalla kama mwakilishi wa sisi Members aysee ingekuwa poa sana.

Anyway muda bado upo next time msisahau mwaliko kwa Snr members wa JF hapa mf Mshana Jr watuwakilishe vilivyo tutajiskia fahari zaidi.

Am kidding mods msije kunipa life ban.
 
Back
Top Bottom