Wapi naweza kupata Criminal Report?

lastBorn raY Nadhani sisi tunaiita Clearance Report. Kama mchangiaji aliposema hapo unaweza kwenda kituo chochote kikubwa cha polisi kilicho jirani na wewe ukaanzia hapo.

Ila sasa Police Tanzania wamerahisisha unaweza kufanya online. Pia hapa:


Kisha jaza form, watakuambia viambatanisho na kama ww ni Mtanzania na unaishi Tanzania utalipia Tsh 10,000/= tu kama ni Mtanzania unaishi nje utalipia $50 tu.

Kabla haujaanza online application uwe na: passport (iwe na size 480px,height:640px kama ukiona size ya passport yako haipo ivo itakusumbua ku upload, nenda kaedit kwenye paint 🎨 ya kwenye PC,) na pia uwe na copy ya NIDA au Birth certificate au Passport ya Kusafiria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom