Wanawake wamepindua meza ya mapenzi, kwa sasa wao ndio wanatawala mapenzi

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,447
11,146
Shalom,

Karibu kwenye anga za mapenzi

Kucheza ni kuchezeshwa, kuchezewa, kuchezeshana. Patamu ni kuchezewa na meza kunduka wanawake wako juu kwa sasa.

Zama hizi raha imepamba moto upande wa wanawake kwa sasa wanaume wamegeuzwa midori wanavurugwa na wanawake kwa kadri ipasavyo.

Kwa wastani wanawake wanapiga shoo kwa siku na wanaume angalau 3 na hapo ni wale wa majumbani ama mtaani achana na wauza shoo.

Wanatoa namba za simu kwa raha sana utasikia namba tu chukua, utasikia hapo sio 6 ni 9, ngoja nikupe ya uhakika chukua na hii.

Demu ni wako akiwa kwako tu nje na hapo huyo ni Dada yako tu.

Ukikataa endelea kusubiri.

Usikasirike kuna kuchangamka na kuchangamshwa.

Ni hayo tu

Nimerauka Nitazame Bandiko lako, Ndipo nikachukua Tanakilishi yangu, Baada ya kuitoa kwenye Kimemeshi na Nikaweka mkamimo kwenye Kupokea Taarifa, ila Nimesoma kwa umakini..
Na naomba Kuchangia Mada hii mtambuka Kuwa Sio kweli na sio Wasichana wote walio na Tabia Hizo
 
Back
Top Bottom