Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Mada za kuwadhalilisha mama na dada zetu ifike mahali zikomeshwe .. Si kila kitu akiweze vingine ni kusaidiana.. Swala la mapishi hata mwanaume anaweza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mengine nakuheshimu mkuu ila kwa hapa umezingua......wasipojua wao kupika nani apike sasa....ni kweli wanawake wengi hawajui kupika na lazima waelezwe hilo sio wakifanya mambo ya hovyo wafumbiwe macho.Ndio maana wanazidi kuwa wajinga klla siku
 
Umesema ukweli sana.
 
Ukitaka waif material utakayedumu naye na mpishi Bora, oa mwanamke wa kihehe ambaye alikua housegel kwenye nyumba za kishua zamani. Utanishukuru Sana baadae.
Ile alfajiri akimaliza kukupa Cha asubuhi utamkuta jikoni anaandaa mapochopocho, huku akiwasisitiza watoto waamke.
After all tunachotafuta kwenye ndoa si Ni sex, kupikiwa, watoto na heshima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom