Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 7,125
- 13,104
Jamaa kauza mechi kizembe Sana 😂
SaaaMoja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa na upwa.
Hapo ifahamike kuwa tumeshaflirt sana, yaani ashanisimulia jinsi atanipa mambo nisahau njia ya kwetu. Mdomoni tu, ana game sio ya nchi hii yaani Casanova huyu hapa.
Mtoto wa kike hiyo siku nikatoka, shanga zangu za pink kiunoni nikaenda Kijitonyama.
NILIJUTA! Hajui Kukiss, Hajui Kusex, Hajui chochote.
Ila kwa sababu alikuwa rafiki yangu, nilimchana live. Nikamwambia “wewe, kunisumbua kote kule ndo hivi??”
Leo nimemkumbuka kwa sababu amenitext “wewe mwanamke uliwahi kuumiza hisia zangu sana. Najua nina deni kwako”
Wanaume, muwe mnafanya mnachotakiwa kufanya. Haiwezekani nitende dhambi ya uasherati halafu nisipate raha. Hata shetani anabaki ananicheka!
YeahMoja kwa moja kwenye mada…

Mkuu usiwe mwizi wa fadhila, halafu kuwa mkomavu basi!Moja kwa moja kwenye mada…

jamaniiiiiuHapo kajamaa kako kamemaliza kupiga game na tutako twake kama skonzi
Angekuwa hakuelewa mzigo asingetaka marudiano bwana!!Mkuu usiwe mwizi wa fadhila, halafu kuwa mkomavu basi!
Jamaa kukushindwa siyo kwamba hajui mambo na ni dhohari, hapana.
Ujue iko hivii?
Kuna ile 'over expectation' tunasema, mwanamme kuwa nayo rohoni, hasa kwa wale wanaozungushwa na kunyanyaswa sana wakavumilia bila kukata tamaa, rohoni mwao hujenga picha ya jinsi ulivyo na cha kufanya siku akikupata!
... 'Huyu mwanamke ananiringia kwa msura na hips lake mimi kweli, kanifanya hadi niuze nyumba yangu ili kumfukuzia yeye, gharama zote hizi wajameni, wee mwache, siku nikimpata naua!'...
Sasa siku hiyo unejiandaa kwa shanga, kigodoro na wig visivyokuwemo akilini mwake.
Pia umejifutika vipodozi na marashi yenye harufu za ajabu ajabu na kujiona umependeza!
Sasa katika kuandaana, kigodoro na wig umevivua umebakiwa na shanga zinazolia lia kama skeleton, hips huna nywele huna, kwa nini 'muhu' wa jamaa usikate kwa kupata asichokitarajia?
Tena mshukuru jamaa aliweza hata kule kukushika shika na kukugonga kihasara!
Mimi ningesizi, jongoo lisingeweza kabisa kupanda mtungi kwa kinyaa na ungeliniona kuwa nina dosari kubwa!
Kwahiyo mume wako ana mashine ya kutosha tu ila technic ndo hana?Cha kushangaza mashine anayo ya kutosha tu. Teknik ndo tatizo
La pili huwa linachelewa hadi kero, yeye la pili lilichukua dakika ngapi?Mbili Mkuu. Moja haikufika hata dakika, ya pili ndo nilipojua hamna kitu hapa..
Anaitwa mopan mo mwamba kabisa
Umeweka sura DP, huoni kuna wengine wanaokufahamu, wanakuchora tu?Si ndo maana tunaandika JamiiForums na sio WhatsApp au Instagram sasa. Kwani wewe hapa JF unamuonea nani aibu anayejua undani wako?
Moja kwa moja kwenye mada…