Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Usisingizie ugonjwa wa akili. Maisha yamekushinda huko sasa unatafuta gia ya kuwa repatriated hadi bongo na nguo ulizovaa tu. Ulienda huko ukiwa na akili timamu na ukoo wenu wote walikusindikiza DSM airport huku ukiwa na ambitions za kurudi nyumbani na Range Rover Vogue na kumiliki villa yenye swimming pool mitaa ya Mbweni. Ndugu, jamaa na marafiki hawatakuelewa mkuu
Mkuu, Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Ulichokiongelea hapo kuhusu kusingizia ugonjwa wa akili ili wanirudushe. It is quite opposite na sheria za hapa zilivyo. Ukiwa na ugonjwa wa akili inawapa shida immigration kukuondoa. Na sidhani kama kuna nchi yoyote inaweza kumrudisha mtu kwao kwa sababu ya ugonjwa wa akili
 
Ubalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akili
Nimeuliza kwa nini utafute emergency travelling document? Huna passport?
 
Kwani wewe hapo ni nani mpaka London Metropolitan police, M15, M16, Home office zikufatilie na kukutesa? Seriously hivyo vyombo vikuhitaji au vikikuona wewe ni security hazard, utalala hapo? Kama uko hapo legally una 'NI' nadhani unanielewa na una GP wako. Tafadhali nenda ukamuone umuelezee haya uliyo ya andika hapa utapata msaada unaokufaa. Ama sivyo kama kweli uko Great London area piga hii namba 02074678364 haitachukua dk 10 jamaa watakuja kukuchukua.
Mkuu, nimeishi London muda mrefu na sipo illegal
 
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.
Si ukaombe msaada ubalozini wakurejeshe?
 
Wao ndio wamejiminisha mimi ni shetani. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine na maumivu ya kichwa na pata vile vile.

Nao hao jamaa hawana akili, sasa shetani gani anaonekana kwa macho halafu anategeka mpaka anaumwa kichwa?
Wee bana ukiona vp bora uende home.
 
Yaani uende kituo chochote cha polisi ku-report halafu popote wajue huyo mtu ni ‘guinea pig’ wa research fulani ambayo inatakiwa kuwa siri, that’s not how national security staffs hide their plans (ndani kwenyewe watajua watu wachache). Ikibainika waziri hana kazi na wengine luluki if not serikali kuvunjwa na kuitishwa kwa uchaguzi mpya.
Mkuu ulichoandika hapo kuna baadhi ya ambayo mimi sijasema.
Ni kweli nilisha ripoti Police zaidi ya mara moja. Lakini hii ya Police kuelewa mimi ni guinea pig sijui imeitoa wapi. Hata kama Police wanajua watanieleza vipi. Manake hiyo itakuwa ni kasheshe nyingine.
 
Hamna !tus
Hamna!ila tuseme yeye ndio amekuwa wa kwanza kushtuka(coz ana ufahamu mkubwa) ,pili labda wengine wamejua ila siyo wa TZ ,na hawana acc jf, so wanalalamika huko kwingine ,ie Nigeria nk,. Honestly sipendi kudhalau matatizo ya watu,napenda nisikie mpaka mwisho, japo siyo justification ya kuamini harakaharaka
Niombee uzima mkuu. Mengine baadae
 
Passport ime expire
Ok. Pole sana. Fanya bidii urudi Bongo upumzike kwa muda uone hali itakuwaje. Kuna wakati nilikuwa nchi fulani Ulaya, nikawa ni mtu wa kuugua ugua vitu ambavyo sijui hata chanzo ni nini. Kila nikienda hospital napewa dawa za usingizi na nyingine anasema ni za kuliwaza ubongo. Nilipoona sina nafuu nikarudi Bongo. Huwezi amini nilipona bila matibabu yoyote. Hivyo nakushauri jaribu kurudi ukae kwa muda. Una muda gani tangu utoke Tanzania?
 
Complaints za mtoa Mada kutoka katika nyuzi zote mbili ni hizi:

7.Wagonjwa wa Akili hawajawahi kujua wala kukubali kama ni wagonjwa wa akili.
Mkuu, mimi nimeshafanya kazi kwenye hospitali za wagonjwa wa akili. Na nimesha repoti baadhi ya issues. Kama ingekuwa ni ugonjwa wa akili si ningekuwa nimesha kuwa sectioned!!
 
Back
Top Bottom