Happinessmassagetz
Member
- Aug 18, 2016
- 47
- 26
Habari!
Wanahitajika wataalamu wa Massage ambao wana ufahamu wa massage na wanaweza kutoa huduma hiyo kwa watu kwa ajili ya kuboresha afya zao.
Sifa za Wataalamu wa Massage wanaohitajika
Kwa aliye tayari apige simu: 0715343161
Pia, Kwa wanaohitaji kujifunza Massage, Nafasi zipo wazi Karibuni Sana.
Imetolewa Tarehe 27/08/2019,
Wanahitajika wataalamu wa Massage ambao wana ufahamu wa massage na wanaweza kutoa huduma hiyo kwa watu kwa ajili ya kuboresha afya zao.
Sifa za Wataalamu wa Massage wanaohitajika
- Awe amesomea Massage (Certificate au Diploma)
- Awe na uzoefu wa kutoa huduma za Massage
- Awe ni mwanamke
- Awe mwenye umri wa miaka 18 au zaidi
- Awe ni mkazi wa Dar es Salaam au kama yupo nje ya Dar es Salaam awe tayari kuishi Dar es Salaam.
- Mshahara utatolewa kwa wataalamu watakaokubaliwa
Kwa aliye tayari apige simu: 0715343161
Pia, Kwa wanaohitaji kujifunza Massage, Nafasi zipo wazi Karibuni Sana.
Imetolewa Tarehe 27/08/2019,