Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

Nawasalimu WanaJukwaa wote wa Jamiiforum matumaini yangu kuwa wote ni wazima na hata wale ambao Hali zao sio nzuri nawaombea Kwa mwenyezi mungu awafanyie wepesi.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28 mhitimu wa astashahada na stashahada ya Ugavi na manunuzi.

Stashahada
View attachment 2368700
Transcript
View attachment 2368702

Astashahada.
View attachment 2368703
Transcript
View attachment 2368706
Nimeandika huu Uzi mahususi kuomba msaada wa kupata kazi kwenye kampuni yoyote ya clearing and forwarding Dar es salaam.

Nishawahi kufanya kazi kampuni ya clearing and forwarding(haikuwa official) ila ni Kwa muda mfupi nina basics kidogo za mifumo inayotumika(Tancis na TesWs) na jinsi ya kuandaa documents Kwa ajili ya maombi ya Invoice na delivery order.

Sifa zangu za ziada.
1. Utayari wa kujifunza Kwa muda mfupi.
2. Kufanya kazi Kwa bidii
3. Uaminifu

Kwa unyenyekevu nawaombeni yoyote mwenye connection ya kuniwezesha kufanikishia hili kunisaidia nina uhitaji sana na hii nafasi.
Pole sana mdogo wangu, ila hapo CBE kuna shida sehemu, certificate GPA ya 3.7 ni first class?
 
Hakuna shida yoyote hapo, kwa level ya certificate ambayo ni nta level 4 wanatumia gpa ya 4 badala ya 5, diploma mwaka wa kwanza pia inatumika gpa ya 4 then mwaka wa pili ambao ni nta level 6 ndio wanatumia gpa ya 5. Kwa hiyo hiyo 3.7 kwa level ya certificate ni sahihi ila kwa diploma na degree hiyo ni upper second.
 
Nashukuru mkuu Kwa ufafanuzi
 
Yeah....umeelezea vizuri sana.
 
Back
Top Bottom