Waliofanya transfer

R100

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
337
81
Naomba mnisaidie kwa hili je waliofanya transfer mkopo wao wanaweza wakaupata baada ya mda gani na je baada ya kuhakikiwa na TCU tutajuaje?
 
dah mwenyewe nliitaji majibu ya swali kam ili nadhani wazoefu na wanaofaam kuusiana na ili watatoa majibu mazuri
 
Back
Top Bottom