Wakuu mawazo na msaada wenu kuhusu Chango!

Hiyo ni kawaida japo inaleta changmoto kwa mtoto na dawa zipo aina nyingi kutegemea eneo ulilopo
Kuna ile maasai au wasukuma walipo wengi wanaiuza inaitwa mwatya [ dawa chafya] japo sijui kiswahili chake bei ni kuanzia buku mbili tu kila akitaka kumnyonyesha mtoto anachukua kidogo tu anaweka kwenye chuchu alafu akimaliza anachukua tena kidogo anamwekea pale kwenye utosi unapodundia anafanya hivyo walau kutwa mara 3
Dawa nyingne ni ule mziwaziwa japo hii unasubiri mtoto afikishe mwezi huu anaung'oa wote na mizizi yake anaosha anachemsha unakuwa unampa nusu kijiko cha chai kutwa mara 2
Mara nyingi mchango unaacha kumsumbua mtoto akifikisha miezi 8 .....
NB Dawa zipo nyingi kulingana mahala ulipo siwezi kuziandik zote hapa ila hizo zinapatikana kwa urahisi zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom