Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wana nguvu sana (Video ipo chini)

Pamoja na nguvu wanayokuwa nayo ni ya muda tu. Wengi wao wanaishia jera ya kudumu au kuuawa na makundi mengine.

Mimi nafikiri kitu kinachowaponza wengi ni ile hali ya kutaka ufalme wa eneo fulani. Tatizo ni kwamba wengi wao vichwa vinakuwa haviko vizuri ksbb ya madawa. Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.
 
Mtoto wa Elchapo Guzman alikamatwa kikosi chake kilizipiga na jesh mpaka ikabid wamwachie zilitembea njugu kiroho mbaya, kuna jamaa wawili walikupog SOUTH FLORIDA miaka ya sabin mmoja anaitwa willy falcon mwenzie simkumbuk wao ndio inasemekana 75% ya cocaine iliyokuwa inatembea duniani ilikuwa yao, hawa ndio wamechangia kwa kiasi kikubwa ujenzi wa maskyscraper yaliyopo MIAMI, huyu Willy Falcon ni mcuba na Rosay kamwimba sana kwenye nyimbo zake…HAYA MA CARTEL NI SERIKALI KABISA MKUU
 
Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.
KUjitoa kwenye biashara haramu sio rahisi namna hiyo mkuu, wakati tu unajiingiza kwenye biashara hiyo unakubali either kifo (kutoka upande wa serikali au mahasimu wako wa biashara) au u snitch wenzio ili serikali ikulinde.
 
Wauza madawa wangekua wanatosheka wangekua mbali mno, tatizo wanataka utemi wawe na vi nchi vyao vidogo vidogo ndo balaa kabisa
Kwan unafikir hawapendi kuacha hiyo Biashara ? Kam ulikuw hujui ngoja nikupe Elimu,... Hayo makundi yana Muunganiko wa matawi tofaut tofaut kam vile ilivyo kwenye siasa ambavyo kuna Muunganiko wa Nchi zinazounda NATO au BRICS,

basi na kwenye madawa ndo hivyo hivyo .... Na wenyew wana Makundi yao yanayounda umoja Husika

Hivyo inapotokea Umeanza kufanya hiyo biashara hat kam upo peke yako Wakikubaini tu hata kam Ulikuwa na Mzigo wa Kilo moja basi inabid Ujiunge na Kundi litakalokufata ujiunge nalo na ukikataa Kinachofata ni kifo,

Na ubaya unakuja kwamba ukishajiunga kwenye hayo makundi basi kuna katiba zao na moja ya masharti ni Hakuna mwanakundi anayetakiwa kujitoa au kuhama nchi bila ruhusa ya Mkuu wa Muungano,

Ikitokea umetaka kujitoa au Umehama nchi bila ruhusa bas kinachofata ni kifo tu na usijidanganye unawez ukajificha sehem yyte duniani maan hawa Jamaa wana mtandao mkubwa mno ambao unafika had kweny vyombo vya Usalama,

Hivyo unapokuwa umejipanga Kuanza hii biashara bas tambua kwamba hakuna kuludi nyuma kamwe,... Ni mwendo wa kusonga mbele tu mpaka Mauti itakapokufikia.
 
Nliwah kusikia kitu kama hicho, na snitch ni anapigwa risasi kama kumchinja kuku wala haina kuwazawaza ndio mana mtu akikamatwa hataji wahusika hata iweje bora mumuuue tu. Nadhan somo la kwanza kabisa wanafundishwaga ni NO SNITCHING..
 
Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.
Sio rahisi mkuu, ukishaingia huko sio rahisi kuja kubadilisha biashara tena, hiyo haramu ina faida sana japo inaua jamii na taifa.
 
H
Mtoto wa Elchapo Guzman alikamatwa kikosi chake kilizipiga na jesh mpaka ikabid wamwachie zilitembea njugu kiroho mbaya, kuna jamaa wawili walikupog SOUTH FLORIDA miaka ya sabin mmoja anaitwa willy falcon mwenzie simkumbuk wao ndio inasemekana 75% ya cocaine iliyokuwa inatembea duniani ilikuwa yao, hawa ndio wamechangia kwa kiasi kikubwa ujenzi wa maskyscraper yaliyopo MIAMI, huyu Willy Falcon ni mcuba na Rosay kamwimba sana kwenye nyimbo zake…HAYA MA CARTEL NI SERIKALI KABISA MKUU
Mambo ni aina hii ukiyaona ni kufunga mdomo wako na super glue
 
Mexico kuna makundi mengi ya wasafirishaji madama duniani ila Columbia ndiyo mashamba yalipo pamoja na viwanda vya kuchakata unga..
Columbia, Bolivia, Guatemala na Peru huku ndiko wakulima wakubwa wapo na wanamajeshi Yao kabisa Huko mashambani.
Miaka ya 70's na 80's serikali ya Cuba walishirikana na wauza dawa kupitisha unga kuingia USA huku Cuba wakifaidika na ushuru wa kupitisha mzigo
 
Pamoja na nguvu wanayokuwa nayo ni ya muda tu. Wengi wao wanaishia jera ya kudumu au kuuawa na makundi mengine.

Mimi nafikiri kitu kinachowaponza wengi ni ile hali ya kutaka ufalme wa eneo fulani. Tatizo ni kwamba wengi wao vichwa vinakuwa haviko vizuri ksbb ya madawa. Lakini kwa biashara hiyo inatakiwa ufanye kwa target. Ufanye kwa muda fulani. Ukivuna za kutosha kabla hujawa mkubwa mpaka kujulikana,badirisha biashara na mtindo wa maisha yako wote badirisha,na hama kabisa hiyo nchi kaanzishe biashara nchi nyingine.
Ukiisha kuwa cartel ni maisha huwezi badili maana maokoto huko ni nje nje na ubabe kwa sana
 
Back
Top Bottom