Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,742
- 1,081,545
Electrocution, Drowning na kuangukiwa na miti pamoja na kuchomwa/kukatwa na vitu vyenye ncha kali ndiyo hupoteza maisha ya watu wengi wakati wa vimbunga kama Hidaya aliyepita hapa majuzi...