Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

u
Yesu alisema,Kizazi hiki ni cha Zinaa na Dhambi.
Ndiyo maana wanapenda zinaa na uasherati mf.akina kataa ndoa na Chaputa members.
Tunakokwenda huenda Wanaume waliooa wakalazimishwa kuongeza wake.
Maana wanawake ambao hawaolewi ni hatari kwa usalama wa ndoa za watu.
Na ndiyo uzinzi unaongezeka!una dha

Yesu alisema,Kizazi hiki ni cha Zinaa na Dhambi.
Ndiyo maana wanapenda zinaa na uasherati mf.akina kataa ndoa na Chaputa members.
Tunakokwenda huenda Wanaume waliooa wakalazimishwa kuongeza wake.
Maana wanawake ambao hawaolewi ni hatari kwa usalama wa ndoa za watu.
Na ndiyo uzinzi unaongezeka!
naona unaangalia kwa angle nyingine, ulishawahi jiuliza kwanini hawataki kuoa ?
 
MITHALI 18:22

Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.

WAEFESO 5:31

“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.

1 WAKORINTHO 7

Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.

MARKO 10:7

Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake.

MATHAYO 19;5

Na Mungu alisema,
'Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa m'moja

MWANZO 2:24

Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili m'moja.

MWANZO 2:18-25

BWANA Mungu akasema,
Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Hapo kwenye mke mwema ndio kipengele.
 
Wanawake weng wa jf ni vibungo na singomaza
 
1 Pet 3:7​

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu;

Kupitia maneno 👆👆👆 ya Petro ni ngumu kumwamini mleta mada kwamba wanawake ni wema labda Kama ni wale wa zamani nasio hawa wa Sasa (feminist) ijapokua sio wote. Ila ukweli ni kwamba wanawake wengi wa sasa sio watiifu napia wabinafsi sana kwa waume zao wa ndoa.

Kuna Uzi mmoja nimeona mpaka video mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.

ANGALIZO: kwa hii dunia ya Sasa wanaume wanatakiwa kuishi na hivi viumbe kwa akili sana na kuwachunguza Vizuri mnapokua kwenye mahusiano kabla ya kuingia kwenye ndoa. Maana ndoa sio jambo la kukulupukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom