😳😳😳Vigezo(ufaulu) gani vinavyoitajika ili usome diploma ya medical doctor
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna diploma ya medical doctor..
Labda kama unasema diploma ya Clinical officer
Hakuna diploma ya medical doctor..
Labda kama unasema diploma ya Clinical officer
KivipiHakuna diploma ya medical doctor..
Labda kama unasema diploma ya Clinical officer
DuuhHakuna diploma ya medical doctor..
Labda kama unasema diploma ya Clinical officer
D 3 phy,chem na bios,hivyo ndo vigezo vya diploma ya udaktari.maana ukisoma diploma ya CO ndo unaruhusiwa kusoma ni MD ko ni sawa tu ukisema ndo diploma yakeVigezo vya kusoma CO