Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Sawa tuanzie kwenye Bikra.
Kila mwanamke anazaliwa bikra si ndio?
Ila mazingira ndio yanapunguza au kuongeza chance ya hiyo bikra kuendelea kuwepo.

Binti akiwa mzuri chance ya ku survive na hiyo bikra hadi ndoa inapungua sana kwa asilimia kubwa. Unajua kwanini?? Kwa sababu nyie wanaume mkiona mtoto mzuri tu baaasiii, mnatumia mbinu zote za “kitibeli” mpaka muonje. Binti mzuri anazungukwa na vishaWishi vingi sana kuanzia shuleni (walimu) kwenye nyumba za ibada hadi mtaani. Kila mtu anataka aonje.

Unasema tena awe na kazii😂😂😂. Hapo uwezekano wa hiyo bikra kuendelea kuwepo ni ya kusaka kwa manati. Mabosi wenyewe ndio hawa hawa???😂😂😂 Tena mtoto ni mzuri??

Wewe oa jobless tu
Mpka naelekea kuzeeka sijawah kutoa bikra , huwa naaanzia level 2 to infinity ♾️ , sijui vijana huwa wanazitoa mda gan🙄
 
Watibeli tunatumia kanuni isemayo hatuwezi haribu ambacho hakijaharibika au haribiwa. Yaani ukiwa Bikra na hatuna mpango wa kukupa hatuwezi kukugusa.

Ila tunaharibu vilivyoharibiwa na kuharibika. Hiyo kwetu ni Haki.

Kuhusu kuoa jobless naweza fanya hivyo lakini siwezi ishi naye kama hataki kufanya kazi. Never
😂😂sawa
 
Mpka naelekea kuzeeka sijawah kutoa bikra , huwa naaanzia level 2 to infinity ♾️ , sijui vijana huwa wanazitoa mda gan🙄
Wenzako wanawaangalia wale waliopo class 6 wanawapa Christmas moja au mbili halafu wanawawahi. Wewe utakuwa unatafuta bikira wa chuo kikuu wewe.
Ila wanaume walaku nyie, hamuwezi kuona embe linakomaa mkasubiri liive lianguke? 😏😏
 
Sawa tuanzie kwenye Bikra.
Kila mwanamke anazaliwa bikra si ndio?
Ila mazingira ndio yanapunguza au kuongeza chance ya hiyo bikra kuendelea kuwepo.

Binti akiwa mzuri chance ya ku survive na hiyo bikra hadi ndoa inapungua sana kwa asilimia kubwa. Unajua kwanini?? Kwa sababu nyie wanaume mkiona mtoto mzuri tu baaasiii, mnatumia mbinu zote za “kitibeli” mpaka muonje. Binti mzuri anazungukwa na vishaWishi vingi sana kuanzia shuleni (walimu) kwenye nyumba za ibada hadi mtaani. Kila mtu anataka aonje.

Unasema tena awe na kazii. Hapo uwezekano wa hiyo bikra kuendelea kuwepo ni ya kusaka kwa manati. Mabosi wenyewe ndio hawa hawa??? Tena mtoto ni mzuri??

Wewe oa jobless tu
Jobless akiwa bikra hakuna tatizo , kazi nitamtafutia
 
Wenzako wanawaangalia wale waliopo class 6 wanawapa Christmas moja au mbili halafu wanawawahi. Wewe utakuwa unatafuta bikira wa chuo kikuu wewe.
Ila wanaume walaku nyie, hamuwezi kuona embe linakomaa mkasubiri liive lianguke? 😏😏
Duh vitoto apana kwa kwel ,majimama ya 90- 99 ni minato zaidi kuliko hivi vitoto vya 2000 .
 
Masharti meeeeengi!

Namshukuru Mungu mimi na kaka mzuri kigezo chetu kikuu ni upendo wa dhati ambao kwetu hauna mashaka, mengine ni kudanganyana tu.
Assume kaka mzuri angekukuta sealed , How fortunate would he feel to be bestowed with that honor?,However, matokeo juu ya maamuzi yetu yanatokana na nia nzuri tulizokuwa nazo ...Unastahili kupendwa na kupenda haijalishi ni Virgin or not.
 
Kwani unadhani hawezi kuwapata hao sealed, au hajui hilo? Sijui kwanini watu mnapenda kuleta hoja zenu binafsi kwenye maamuzi binafsi ya maisha ya wengine...

Nimeshasema sisi kigezo chetu kikuu ni upendo na tunapendana sana, period.
 
Back
Top Bottom