Uturuki yamkandia Natenyahu, yaipongeza HAMAS

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,083
36,060
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:

IMG_20240426_220749.jpg

2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?

IMG_20240426_220840.jpg

3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu iliyostaarabika?

IMG_20240426_220922.jpg

4. Kuwa tunatembea?

IMG_20240427_053614.jpg

5. Tujikumbushe kinachotakiwa:

IMG_20240427_053528.jpg

6. Viva resistance, viva Palestine, viva HAMAS.

Aluta Continua!
 
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:

View attachment 2975029

2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?

View attachment 2975030

3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu iliyostaarabika?

View attachment 2975031

4. Kuwa tunatembea?

View attachment 2975028

5. Tujikumbushe kinachotakiwa:

View attachment 2975027

6. Viva resistance, viva Palestine, viva HAMAS.

Aluta Continua!
Vip Erdogan wa uturuki anachowafanyia wakurd yeye ni sahihi?
 
Kurdi ni watu watata na wakorofi.
Hawajui kuishi kwa amani wao huleta utata popote pale,hawajui maana ya majadiliano wao huwaza nguvu popote pale.
Kurdi wanasumbua mpaka Iraq na Iran na Syria.
Unaongea nini wewe. Unajua Kurd walikuwa taifa kubwa sana huko nyuma? Kurd wanachokitaka na palestina hawana tofauti wanataka nchi yao iliyochukuliwa kwa nguvu. Inaanzia uturuki Syria Iraq mpaka Iran. Kama hujui kitu kaa kimya.
 
Wewe ndio hujui kitu mkuu.
Zamani kulikua kuna Himaya ya PERSI/UAJEMI inayoitwa ANATOLIA/IRAN.
Syria hakukuwahi kuwa sehemu ya kurdi pale kulikua na Himaya ya ALLEPO.
Anatolia ilikuja kuwa replaced na Ali seljuk baada ya Waturuki kuhama tokea central Asia kuja ghuba ya uajemi.
Kurdi ilikua sehemu ya majimbo kama ilivyo jimbo SHIRAZ.
HAKUKUWAHI KUWA NA HIMAYA YA KURDI WEEEH WEEEEH MIE SIO MTOTO JIANGALIE.
Kwa kuongezea Uturuki unayoona pale nusu ya ardhi ya Ugiriki iliichukua kwa mabavu toka kipindi cha kuundwa kwa himaya ya Ottoman pamoja na Anatolia ilikua ni ardhi ya Iran ambayo Uturuki imeikwapua na Iran kupungua mipaka yake.
Kurdi ilikua jimbo kama shiraz.
Wakurdi wana ukabila sana,hujiona wao wana deserve kuliko wengine kiasi cha kuleta vurugu.
Kama kuna himaya ya Kurdistan ilowahi kutokea niletee hapa niione.
 
Uzuri wa Erdoğan anajua na anatambua kuwa anaongea uongo Taqiyya na unafiki.. ila Moyoni anaipenda Israel.. ukiwa muumini halal wa Uislam huwezi sema kuwa Jerusalem ni for Arabs.. total unampinga Allah so unakuwa kafir..
 
Hayo ndo wanamezeshana ,wanashindwa kuwaambia wapalestina wakae vizuri na wayahudi kama jamii ya kiarabu - Druze anavyoishi na wayahudi kwa amani.
 
Uzuri wa Erdoğan anajua na anatambua kuwa anaongea uongo Taqiyya na unafiki.. ila Moyoni anaipenda Israel.. ukiwa muumini halal wa Uislam huwezi sema kuwa Jerusalem ni for Arabs.. total unampinga Allah so unakuwa kafir..
Mnatia linya saan wabongo na ujuaji mwingi sana unaazaje kupende hilo taifa la kihuni ..au ndo ulokole umekujaa hapa
 
Mimi sio mfia dini ila napinga ugaidi kwa nguvu zote.

1. Hata HAMAS, Israel, USA, South Africa, Mandela na wengi wanapinga ugaidi.

2. Humo wamo chawa na wasiokuwa chawa wakiwamo wafia dini, mbumbumbu na wajuaji.

3. Hapo #2, zingatia kwenye rojo hilo tatizo ni Tafsiri ya neno ugaidi.

4. Hapo #3, zingatia mgongano wa Tafsiri ukitokea suluhu ni hoja au kwenda mahakamani; siyo ujanja ujanja au upuuzi puuzi kama was Natenyahu, MK254, denoo JG au wa namna hIyo!

5. Hapo #3, zingatia tofauti ya ugaidi na upigania uhuru.

6. Kumbuka Mandela, Gaddafi, Saddam, ANC, SWAPO, MPLA, FRELIMO, nk Magharibi na wakoloni waliwaona magaidi Hali mashariki wakawaona ni wapigania uhuru.

7. Muhimu hakuna gaidi anayepinga hadharani kuwa si gaidi; hakuna mwislam anayeweza kukanusha hadharani kuwa si mwislam; hakuna mkristo anayeweza kupinga hadharani kuwa si mkristo, nk..

8. Hapo #7, ugaidi ni Imani ambapo Boko Haram, Al Shabab, ISIS, ISIL, LRA, IRA, nk wanajua au walijua na kujisifia kuwa wao ni magaidi.
 
Vip Erdogan wa uturuki anachowafanyia wakurd yeye ni sahihi?

1. Mkuu si walisema two wrongs don't make a right? Kwa maana yake kamili ndugu!

2. Kuwa madhambi yake uturuki kokote hayawezi kuhalalisha uovu wa mwingine yeyote kokote.

3. Kayakanyaga mwisraeli, huyu ni wa kuzodolewa Hadi na shetani.

4. Kayakanyaga Russia Kwa uvamizi Ukraine, hakumsimamishi kumkemea Israel Kwa kuyakanyaga Israel Palestine.

5. Wapuuzi zaidi ni wanarekani:

Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

6. Hapo #5, serikali ya marekani inataka kuwa rafiki wa Mungu na Shetani Kwa wakati mmoja.

7. Hapo #6, kulikoni urafiki wa marekani na Ukraine na pia Israel Kwa wakati mmoja?

8. Hapo #7, unafiki daraja ya juu kabisa!
 
So no one yupo right coz kila mtu kwenye eneo lake wakat flan flan akijisikia anafanya anavyotaka. Kama Iran kwenye jimbo lake kusin mpakan na Pakistan.
 
So no one yupo right coz kila mtu kwenye eneo lake wakat flan flan akijisikia anafanya anavyotaka. Kama Iran kwenye jimbo lake kusin mpakan na Pakistan.

1. Lakini siyo kuwa "no one is right" ndugu, labda kama una maana tu, hawapo wengine zaidi, nje ya USA, Russia, Turkey au Israel!

2. Hapo #1, ndipo walipo South Africa, Spain, Nicaragua, Arab countries, UN, na non-aligned countries takribani wanapojitwalia Mataji ya heshima za haki na ubinadamu.

3. KmHapo #2 ndipo walipo wale wasiodanganyika all the time.

4 Kumbuka:

IMG_20240426_093648.jpg
 
Kurdi ni watu watata na wakorofi.
Hawajui kuishi kwa amani wao huleta utata popote pale,hawajui maana ya majadiliano wao huwaza nguvu popote pale.
Kurdi wanasumbua mpaka Iraq na Iran na Syria.

1. Kwamba ni wasumbufu si kweli kuwa hawana jema.

2. Kama hapo #1 ungali na taabu nao, labda kama una maana kuwa semi hizi:

"Barabara ndefu haikosi Kona au mwanamke mrembo hakosi kasoro."

Zitakuwa hazina maana yoyote kwako?

3. Tukubali waturuki ni watata, Vipi Israel? Huna lolote la kusema kuwahusu?

4. Bernie Sanders anayo maneno magumu sana kuwahusu Israel:

IMG_20240426_001337.jpg

IMG_20240426_001427.jpg
 
Unaongea nini wewe. Unajua Kurd walikuwa taifa kubwa sana huko nyuma? Kurd wanachokitaka na palestina hawana tofauti wanataka nchi yao iliyochukuliwa kwa nguvu. Inaanzia uturuki Syria Iraq mpaka Iran. Kama hujui kitu kaa kimya.

Tatizo la watanzania wengi wametanguliza mbele "ufia dini" na u "mbumbumbu ujuaji" hapo achilia mbali "machawa," basi ni tafrani moja kwa moja.

2. Waambiwe nini waumini kindaki ndaki aina ya kina denoo JG, MK254, Moisemusajiografii, Yoda na wa namna hiyo?

3. Kwenye uzi huu makundi yao 7 kama yalivyoainishwa ni laana!

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
 
Vip Erdogan wa uturuki anachowafanyia wakurd yeye ni sahihi?

1. Kwani makosa mawili ya mtu au watu huhalalisha moja ndugu?

2. Anachofanya Erdogan kwa wakurd si sahihi na si ajabu wakurd kuwa wana mwunga mkono Erdogan dhidi ya Israel!

3. Hapo #2 hudhani wewe unaweza kuwa unalia machozi ya mamba ukizingatia, mada hii ni Erdogan, Natenyahu na Palestina?

4. Hapo #3, mada hii haihusu wakurd na huko Natenyahu akimzodoa nitakuwa hapa nambari one kumwunga mkono Bibi!

5. Vipi maneno ya Bernie Sanders haya yana maana yoyote kwako?

IMG_20240426_001337.jpg

IMG_20240426_001427.jpg
 
Back
Top Bottom