Uturuki yamkandia Natenyahu, yaipongeza HAMAS

Juzi kati niliona mdada wa kizungu analalamika meli yao ya misaada kwa watu wa gaza imekwama uturuki, waturuki wameizuia kwa maelekezo toka kwa USA, sasa kama mzee erdogan anachoongea kinatoka moyoni kwanini alizuia ile meli?

Mturuki haaminiki.
 
Uzuri wa Erdoğan anajua na anatambua kuwa anaongea uongo Taqiyya na unafiki.. ila Moyoni anaipenda Israel.. ukiwa muumini halal wa Uislam huwezi sema kuwa Jerusalem ni for Arabs.. total unampinga Allah so unakuwa kafir..

1. Kwamba Erdogan anasema uongo?

2. Bernie Sanders naye anasema uongo?

IMG_20240426_001427.jpg

3. South Africa, UN, Arab countries, Spain, Norway, chinat, Russia na wengi duniani wanasema uongo?

4. Kuwa ninyi ndiyo mnaosema ukweli?

5. Siyo kuwa Mmezidi "umbumbumbu ujuaji?" Zingatia huo unawaathiri wengi na kuwa ni laana!
 
View attachment 2975392

3. South Africa, UN, Arab countries, Spain, Norway, chinat, Russia na wengi duniani wanasema uongo?

4. Kuwa ninyi ndiyo mnaosema ukweli?

5. Siyo kuwa Mmezidi "umbumbumbu ujuaji?" Zingatia huo unawaathiri wengi na kuwa ni laana!
 
Juzi kati niliona mdada wa kizungu analalamika meli yao ya misaada kwa watu wa gaza imekwama uturuki, waturuki wameizuia kwa maelekezo toka kwa USA, sasa kama mzee erdogan anachoongea kinatoka moyoni kwanini alizuia ile meli?

Mturuki haaminiki.

1. Mkuu makosa mawili hayafanyi Moja kuwa sahihi!

2. Mturuki haaminiki? Nani anaaminika?

3. Hapo #2 ni Israel, USA, Russia, Israel, German, UK, Japan, Saudia, Qatar, Jordan, Iraq, Egypt, Iran, India, Pakistan, Australia, Canada, Argentina, France, Tanzania, Kenya au Ukraine, nk nk; kwenye lipi?

4. Hapo #3, inaweza vipi nchi kuunga mkono Russia na Israel Kwa wakati mmoja?

5. Kwa hIyo kwenye kuaminika unaonaje tuanzie hapo #4 kwenye urafiki na Mungu na Shetani Kwa wakati mmoja?

6. Chako cha kuaminika hapa huoni ni mwendelezo wa zile siasa za Chadema uchwara kuwa Zitto haaminiki?

7. Hapo #6 niuhimu kutambua Natenyahu akiwa na jema kama kumzodoa Russia Kwa uvamizi pamoja na uvamizi wake Gaza tutamwunga mkono Ukraine tukimzodoa Gaza Kwa kelele zile zile!

8. johnthebaptist nikukaribu kukutana na kijana wangu chamani na zile tunazoziita siasa uchwara ndani ya Chadema na pasipo kupepesa macho!

8. Nisiache kuwakumbusha kina Moisemusajiografii, Mzee Kigogo, denoo JG, PakiJinja, Lucas Mwashambwa na machawa wengine waandamizi; uchawa ni laana!
 
Hayo ndo wanamezeshana ,wanashindwa kuwaambia wapalestina wakae vizuri na wayahudi kama jamii ya kiarabu - Druze anavyoishi na wayahudi kwa amani.

1. Kwa hIyo ukivamiwa na wezi au majambazi, uchaguzi wako ni kuwa mpole tu na kuelewana nao?

2. Kuwa kama vipi wajisevie tu wapendavyo hata kama ni kukufanya wewe mwenyewe asusa?

3. Ndiyo unadhani ulio ufumbuzi wako ulio bora kabisa?
 
Mnatia linya saan wabongo na ujuaji mwingi sana unaazaje kupende hilo taifa la kihuni ..au ndo ulokole umekujaa hapa

1. Mkuu hao wako humu:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

2. Ni machawa. Kwao uchawa ambao kiuhalisia ni laana, ndiyo inayowaweka mjini.

3. Cha kusikitisha na Chadema nao huko nako wamo.

4. Ushauri wa bure kwao, ni heri wakasimama na miguu yao tunakoelekea, watajikuta wanaolewa!
 
Uzuri wa Erdoğan anajua na anatambua kuwa anaongea uongo Taqiyya na unafiki.. ila Moyoni anaipenda Israel.. ukiwa muumini halal wa Uislam huwezi sema kuwa Jerusalem ni for Arabs.. total unampinga Allah so unakuwa kafir..
Huwa huishiwi kuropoka.
Ila punguza kuropoka.
Erdogan hakuwahi ipenda Israel.
Israel ishukuru diplomasia ya EU kwa Turkiye laa sivyo Turkiye ingekua hasimu mwingine wa Israel.
 
1. Kwamba ni wasumbufu si kweli kuwa hawana jema.

2. Kama hapo #1 ungali na taabu nao, labda kama una maana kuwa semi hizi:

"Barabara ndefu haikosi Kona au mwanamke mrembo hakosi kasoro."

Zitakuwa hazina maana yoyote kwako?

3. Tukubali waturuki ni watata, Vipi Israel? Huna lolote la kusema kuwahusu?

4. Bernie Sanders anayo maneno magumu sana kuwahusu Israel:

View attachment 2975352

View attachment 2975353
Mkuu,umesoma vizuri maelezo yangu!?
Sijawazungumzia Turkiye nimewazungumzia kurdish.
Naona kaka umeleta maelezo yasiyoendana na nilichoongea.
Kurdish ni watata na wanasumbua sana mkuu.
Nenda kawafuatilie wakurdi vizuri uone walivyokua watata toka kipindi cha Ottoman.
 
Hayo ndo wanamezeshana ,wanashindwa kuwaambia wapalestina wakae vizuri na wayahudi kama jamii ya kiarabu - Druze anavyoishi na wayahudi kwa amani.
WaPalestina hawana shida na Wayahudi.
Kipindi cha uongozi wa Yair Lapid kama kiongozi wa mpito Palestina na Israel walipatana sana kiasi wayahudi waliwekeza Gaza.
Shida ni Netanyahu ni kiongozi anayependa machafuko na ukandamizaji.
Jiulize kwanini kipindi cha Lapid kulikua na amani ila kuingia tu Netanyahu vurugu zimeanza!?
Netanyahu ni kirusi sana mashariki ya kati.
 
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:

View attachment 2975029

2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?

View attachment 2975030

3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu iliyostaarabika?

View attachment 2975031

4. Kuwa tunatembea?

View attachment 2975028

5. Tujikumbushe kinachotakiwa:

View attachment 2975027

6. Viva resistance, viva Palestine, viva HAMAS.

Aluta Continua!
Wote nyinyi si Waislam tu!! Tunawajua mlinyo na roho mbaya inachagizwa na kitabu chenu

View: https://x.com/BFirstParty/status/1784221174785773788
 
Edogarn asiishie kulalamika! Atume jeshi lake kwenda kuwasaidia Hamas kupigana na Majeshi ya IDF,US,UK.
Vinginevyo asiwe kama Mbwa koko anayebweka akiwa nyuma ya mlango!
 
Wote nyinyi si Waislam tu!! Tunawajua mlinyo na roho mbaya inachagizwa na kitabu chenu

View: https://x.com/BFirstParty/status/1784221174785773788

1. Miye si mwislam, mfia dini wala chawa kama wewe ndugu!

2. Ufia dini, uchawa na umbumbmbu ujuaji ni laana!

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

3. Hapo #2, msipobadilika, mjini kwa mnazoita kuwa ni kazi zenu mtaolewa bila kujali jinsia!

4. Bennie Sanders na wenziwe wako hupu:

a) Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

b)Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

5. Hao ni mfano tu, wao kama sisi, wengi tu; siyo waislamu, ndugu mfia dini, chawa, "mbumbumbu mjuaji," uliyelaaniwa we!
 
Muislam mwingine huyu hapa chini

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1784486537041785257
 
Wafia dini ndio jamii ipi ama kina nanii

1. Kuuliza si ujinga.

2. Wameangaziwa vyema humu:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

3. Ambamo wamewekwa wazi kuwa:

"e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom