Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Alafu nikitaka kwenda sauzi.kwa gari.nikifika mipakani nitaulizwa tiketi ya kurudia yaani kama kwenye ndege?
 
Dah asante mkuu kwa kuleta uzi huu mimi nimeplan kuhamia marekani mwaka huu mwishoni panapo majaaliwa kuna kakaangu atanialika hebu naomba kujua Visa ya kwanza ni muda gani wanakupa na ameniambia atanitafutia kazi kwa mwezi kiasi kadhaa mana kuajiriwa bongo mshahara wote unaishia kwenye matumizi hebu naomba msaada kujilipua usa inakuaje au ndo trumph atanirudisha kwetu mkuu asante
 
Mkuu visa inategemea na kaka'ko anakualika huko kwa muda gani.
 
Dah asante mkuu kwa kuleta uzi huu mimi nimeplan kuhamia marekani mwaka huu mwishoni panapo majaaliwa kuna kakaangu atanialika hebu naomba kujua Visa ya kwanza ni muda gani wanakupa na ameniambia atanitafutia kazi kwa mwezi kiasi kadhaa mana kuajiriwa bongo mshahara wote unaishia kwenye matumizi hebu naomba msaada kujilipua usa inakuaje au ndo trumph atanirudisha kwetu mkuu asante
Huko unakokwenda pia kuna matumizi, tena kama ni hizi kazi za unskilled labour utajikuta wewe ni mtu wa hand to mouth. Kinachoumiza sana ni kodi ya nyumba, watu wengi inabidi wafanye kazi mbili ili kupata pesa ya ziada.
 
Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,

Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.

Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao

HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Mkuu, jiandae kuzungukwa na defender leo jioni. Bwana yule hataki kukosolewa
 
Huko unakokwenda pia kuna matumizi, tena kama ni hizi kazi za unskilled labour utajikuta wewe ni mtu wa hand to mouth. Kinachoumiza sana ni kodi ya nyumba, watu wengi inabidi wafanye kazi mbili ili kupata pesa ya ziada.
Kwa kuanzia kukaa kupo mkuu kwa huo mwaka pia kufanya kazi mbili sio mbaya mkuu je baada ya Visa kuisha unaweza ukajilipua mkuu
 
Dah asante mkuu kwa kuleta uzi huu mimi nimeplan kuhamia marekani mwaka huu mwishoni panapo majaaliwa kuna kakaangu atanialika hebu naomba kujua Visa ya kwanza ni muda gani wanakupa na ameniambia atanitafutia kazi kwa mwezi kiasi kadhaa mana kuajiriwa bongo mshahara wote unaishia kwenye matumizi hebu naomba msaada kujilipua usa inakuaje au ndo trumph atanirudisha kwetu mkuu asante
Mkuu, usitusahau nyumbani ukifika kwa Trump.
Twakuombea Heri lengo lako litimie
 
Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,

Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.

Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao

HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Mkuu utawakumbukaa ndugu walaa jamaa ujee ukawasalimiee ..au ndio ilee utawaambiaa mtaona majaliwaa mungu akipendaa
 
Back
Top Bottom