Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

Na wewe umepata Dem?
Nope, am on my own
Screenshot_20240105-123213_1.jpg
 
8, Kaka mzuri ndio kila kitu, nikishaongea nae mwenyewe anajua jinsi ya kunituliza basi hasira zote kwisha.

Kabla yake nilikuwa team 2, nakaa kimya yakinizidi nahamia 4 namuomba Mungu napata amani.
 
Namba 5 ndio hatuna sahihi ili huyo aliyeingia kwenye himaya yako asirudie tena,peleka spana mpaka siku nyingine awe anakuogopa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom