Heheheh. . .natumaini bado tunazungumzia chakula Boss.
Heheheh. . .natumaini bado tunazungumzia chakula Boss.
ni chakula ndio....ndo maana natamani kula
au wewe umeelewa vipi? lol
Hehehe naona ushajifunza uchokozi tayari.mimi natamani kukuona uko kwenye bifu na TF aaah.... nakutania bwana....! ila mimi natamani juice ya barrriiiiidi ya pineapple na tofauti na wewe ni kwamba ninaenda kuichukua kwenye fridge sasa hivi...! dah pole sana lizzy unajua ni nini yani kesho ukikutana nayo hamu nayo imeisha asee...! chukua vitz yako hapo uje maeneo ya kwetu huku bado watu wanagonga nyama mama....! tena electrocuted huwezi amini....! karibu kwetu.....!
Heheheh , with men you never know aisee.Naweza kushabikia "ohhhh na mimi pia" kumbe mwenzangu uko kwingine.
@D. . .BOSS anajua.
Mi natamani nirudishwe 4 years ago, in a tent... hali ya hewa ilikua kama leo... yaani nimekaa hapa siishi kukumbuka na kutamani nirudi tena... :couch2:
Hehehehe yeaaahh.
Haya turudi kwenye vitumbua.Hamna sehemu ubaweza ukapata saa hizi?Au we mtoto wa geti kali?
Mi natamani nirudishwe 4 years ago, in a tent... hali ya hewa ilikua kama leo... yaani nimekaa hapa siishi kukumbuka na kutamani nirudi tena... :couch2:
Ohhh unajua unaweza ukafanyaje?sio rahisi kwa saizi ukipate kitumbua kikiwa moto na kimeandaliwa
vinahitaji maandalizi ya mapema uletewe kikiwa na moto lol
natamani kukagua gwaride la maadhimisho ya siku ya uhuru pale uwanja ya taifa, na baadae kugawa nishani za mwalimu nyerere kwa viongozi wastaafu pale magogoniUnatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . . arrrrrg.
Hehehe naona ushajifunza uchokozi tayari.
Dah nakuonea wivu wewe. Yani mi kesho hiyonyama hata sitokua na time nayo.Kama tu vicoka cola vyangu kwenye friji. . .wiki nzima nimetamani leo nikanunua alafu hata sina hamu tena.Ningekua na hiyo vitz mbona ningeshaenda kutafuta. . . mwenzio naogopa kupanda daladala usiku usiku nisije nikakabwa kabari bureeeee.
Usisahau kuenjoy juice yako. . . . .