Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,893
- 59,801
- Thread starter
- #41
Heheheeh. . . tafuta mpya.Mama muuza Kongosho kaenda kwa Boss kwahiyo weekend yote hii imekula kwetu aisee...yule mama muuza wa Klorokwin nasikia Kloro kamuweka ndani siku si nyingi atatangaza ndoa
@Kongosho. . . mitego gani na wewe kama sio uzushi?
Haya hicho cha Arusha unajua pa kukipata?Tafuta mbegu uoteshe siku nyingine unachuma tu kama mboga.