Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 631
??????!?????!???????!,,,,,,,,,,,::::::::::::.::::::::::::
Unataka kufungua Kitabu cha signature mkuu!?Kuna sehemu ya post ambayo mara nyingi huwa siisomi, nayo ni signature ya mwandishi. Leo nimekutana na post moja iliyokuwa inarekebisha signature ya mwana JF mwingine nikaamua kupitia signature mbalimbali, nyingine zinavunja mbavu kweli. Nimeamua kuzivuta zile nilizoweza kupata na kuziweka hapa:
Good compilation
Na yangu mkuu...
Unataka kufungua Kitabu cha signature mkuu!?
Zinaburidisha, Zinafikirisha na nyingine zinachekesha
Nyanzala wangu nakupenda
hii signature nilipoiona kwa mara ya kwanza nilitafakari sana,nikatamani mie ndie ningekua huyo 'nyanzala'.
kama nyanzala anaperuzi jf na kuiona atakua ni mwenye furaha.
Haya bana, yani kuingia humu tu na signature ushachukuwa!Ninyi nyote hapo juu, ninekwishaorodhesha signecha zenu.
Halafu Cheusimangala, je unafanana na avatar yako dadangu?
Na hii pia:
my wish for 2011 peace, love, harmony and hugs...
hahahah lol asante naona umeniamkia...
ahahaah...hata hii yangu bado naamini "INATISHA"
AD, nilikuwa sijawahi kuisoma ya kwako lakini nayo ni nzuri sana.
Have a great weekend
YouTube - Afro 70 Band - Week End