Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 2,006
- 3,905
Je, umewahi kubadili dini uliyopewa na wazazi au walezi wako wa mwanzo?
Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?
Familia ndugu jamaa walikuchukulia vipi baada ya kufanya uamuzi huo?