Uliyewahi kubadili dini ulichukuliwaje na ndugu zako?

Sie wengine koo na familia zetu zina dini mchanganyiko yaani mseto..
Basi hakuna anayewaza wewe utapoenda hata ukiwaambia ni budha ewala!

Hivyo nilipa bahati sana ya kusoma dini hizi mbili Islamic na christianity kwa undani sababu nilikaa karibu na wabobevu wa dini hizi zote.

Ila kifupi dini zipo overrated sana sijawah kuelewa dini yyte huwa zinaniacha ma maswali mengi sana however i can say inshort kwa uislam na ukristo, uislam upo vizuri sana kimwili ukristo unasubili pale na ukristo upo vizuri sana kiroho uislam unasubili pale.
 
Mimi niliwahi kuwa mlokole,wakanisema,nikawa msabato wakanisema nikaanza kwenda madrassa wakanisema, Niliporudi kumalizia sakramenti ya kipaimara na hawa wengne wakaungana kunisema, saivi sina dini wameungana wote kunisema na sijali
😝😝😝 mie nimemaua kuwa budha saiv na wala sijali naamini mungu yupo na natenda mambo mema
 
Mimi niliwahi kuwa mlokole,wakanisema,nikawa msabato wakanisema nikaanza kwenda madrassa wakanisema, Niliporudi kumalizia sakramenti ya kipaimara na hawa wengne wakaungana kunisema, saivi sina dini wameungana wote kunisema na sijali
Same boat..dini inahtaji akili nyingi sana,coz kuna unafiki mwingi
 
Ninachojua mimi dini siyo kwa ajili ya mtu/watu eg:mama,baba,wajomba sijui mke mume dini ni wewe kutafuta njia sahihi ya kesho yako (kwa wenye imani na Mungu haswa) siyo maigizo umepata mchumba sijui umri wa kuolewa umefika amekuja wa dini yoyote au mwanamke anakata sana mauno useme unabadili dini.

Kama dini umeisoma mwenyewe ukaielewa na siyo kubadili kwa mihemko kwenye mihadhara ya wachungaji na mashehe ni vizuri kufuata kile umesoma bila kuogopa utaonekana vipi na jamii inayokuzunguka.
 
Mimi niliwahi kuwa mlokole,wakanisema,nikawa msabato wakanisema nikaanza kwenda madrassa wakanisema, Niliporudi kumalizia sakramenti ya kipaimara na hawa wengne wakaungana kunisema, saivi sina dini wameungana wote kunisema na sijali
Kila nikisoma hii comment nacheka 😁😁😁
 
Back
Top Bottom