ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,336
- 22,151
Iyo nyimbo afande alifichwa mbaya aiseee mpaka nawaza angetoa as a solo artist sidhani kama ingehit kama ilivyohit kwa kuweka vile vichwaAfande Selle alistahili kwa wimbo wa mtazamo alitisha sana