Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

Wanawake wenyewe hawajielewi, usitegemee wewe kuwaelewa.

Wewe angalia tu Ile sambusa akiinama inageuka nyuma, akichuchumaa inakuja mbele.
Kujua kuwa hawaelewek ndio kuwaelewa kwenyewe.. Ukisoma pages chache za kitabu utaona mwandishi amekaa humo humo na zaidi..
 
Kujua kuwa hawaelewek ndio kuwaelewa kwenyewe.. Ukisoma pages chache za kitabu utaona mwandishi amekaa humo humo na zaidi..
NI Bora usiwaelewe wanawake upate code za kuingiza pesa hizo ndio muhimu.

Mapenzi Mengi yanakufa Kwa ukosefu wa pesa, maskini hawapendani.

Mwanamke maskini lakini akiwa na mwanaume maskini mwenzake anaona ni mkosi
 
Back
Top Bottom