Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,818
12,689
Yaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu.

Yamewahi nikuta hayo mambo ya kujifanya Nice guy ila baada ya kua katili yaani ghafla tu upepo umebadilika kila kitu smooth.

NB: Usimpe umuhimu mwanamke zaidi ya 20% ya muda wako nk zilizobaki focus na mambo yako.
 
You have such a poor perceptive on viewing this, Oh My Gosh.... Men
 
Weka uso wa mbuzi kiasi kwamba mwanamke akitaka kukuletea ujinga ajifikirie mara mbili mbili.Wavulana wengi wanafikiri ukiwa unakubali kila kitu anachosema mwanamke basi atakupenda na kukuheshimu,wakati kiuhalisia ukiwa hivyo wanawake wanakuona kama shosti yao.
Mtoto wa Kiume mwanamke anakuita eti pacha wangu na wewe unachekelea kama malaya kaona bia.
Man up!
 
Ukiwa nice guy unafungua milango ya mwanamke kukuzoea yaani anaishi na wewe kwa mazoea na Mazoea yakishaota mizizi yanaleta kiburi na dharau na mwisho huua Mahusiano hivo Mwanamke mpende na mjali kwani hilo ni jukumu lako ila kamwe usiruhusu MAZOEA kwenye Yes iwe YES kwenye No iwe NO over.
 
Weka uso wa mbuzi kiasi kwamba mwanamke akitaka kukuletea ujinga ajifikirie mara mbili mbili.Wavulana wengi wanafikiri ukiwa unakubali kila kitu anachosema mwanamke basi atakupenda na kukuheshimu,wakati kiuhalisia ukiwa hivyo wanawake wanakuona kama shosti yao.
Mtoto wa Kiume mwanamke anakuita eti pacha wangu na wewe unachekelea kama malaya kaona bia.
Man up!
Malizia na neno
(Nyokoo kabisa)
 
Kuna kitu bado wanaume hatukijui, mwanamke ataku heshimu jinsi unavyo muheshimu. Zinagtia neno heshima . Sasa wewe jifanye vandame yakukute. Jiheshimu kwanza wewe kama mwanaume. Swala la sijui kukaza sula, sijui kutojali na bullshit zingine hazisaidii kama wewe bado ni kilaza tu.
 
Mapenzi yapo natural kuongeza au kupunguza chochote Kwa shinikizo la sijui makungwi au yeyote huharibu, kama una mapenzi ya kweli huwezi mjibu mwenzio kama beberu au jambazi, mapenzi ni ipole na unyenyekevu kama mkeo Hana akili ni kusukuma kama punda au Ng'ombe unayo bahati mbaya
 
Inategemea na mwanamke uliyenaye. Hakuna mapenzi yanayonoga kama nyote ni washikaji na marafiki mnaopendana kikweli. Lakini inabidi upate mwanamke anayejitambua na aliyemalizana na hekaheka za ujana na kurukaruka huko.

Na kumfanya mpenzi kuwa mshikaji na rafiki yako haina maana kuwa ndiyo automatically amekupokonya uanaume wako na mamlaka yako kama mwanaume, mume, baba na kuhani wa familia.
 
Back in days nilipataga manzi fulani dodoma bas bana nikajifanya kuwa et gentleman tukiwa town nambebea pochi,sasa kuna siku niko stand mpiga debe mmoja akaniambi"bro acha kuisaliti sura yako na kabila lako"niliporudi ndio ulikua mwisho wa mapenz na yule demu maana nilichange ghafla nikawa msukuma haswaa!
 
Back
Top Bottom