Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
23,786
71,371
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.

Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
 
Umeandika ukweli mtupu, wengi ni vilaza wasiojielewa
Licha ya mada zisizokuwa na maana kuchangiwa ila hata za wizi wa mali ya umma huwa wengi wanafurahia kuibiwa yaani sijui huwa wanamkomoa nani

Tuna watu wa ajabu sana, watu ambao hata maendeleo ya mtu wanayashangaa
Mitandao mingine ya wenzetu hoja zao na michango yao mingi inasaidia sana
Lakini pia tataizo ni mods pia wanachangia
Mtu anaamka anaamua kutuambia kakimbiwa na Malaya na hela zake
Sasa sisi haituhusu ila mods wataiacha ichangiwe na wajinga
Utafikiri wanalipwa kwa nyuzi kuwa na wachangiaji wengi we don't know
 
majukwaa na mada ndiyo vinaamua mada itembee/isitembee. Kila mtu ana interest zake jf hatuwezi wote kuwa washabiki wa MMU au siasa n.k
Kwenye kundi lolote la watu wengi kuna kila aina tofauti tofauti za watu ni kuchagua upande wako unaofit.
 
Umeandika ukweli mtupu, wengi ni vilaza wasiojielewa
Licha ya mada zisizokuwa na maana kuchangiwa ila hata za wizi wa mali ya umma huwa wengi wanafurahia kuibiwa yaani sijui huwa wanamkomoa nani

Tuna watu wa ajabu sana, watu ambao hata maendeleo ya mtu wanayashangaa
Mitandao mingine ya wenzetu hoja zao na michango yao mingi inasaidia sana
Lakini pia tataizo ni mods pia wanachangia
Mtu anaamka anaamua kutuambia kakimbiwa na Malaya na hela zake
Sasa sisi haituhusu ila mods wataiacha ichangiwe na wajinga
Utafikiri wanalipwa kwa nyuzi kuwa na wachangiaji wengi we don't know
Au kuna jamaa anandikaga nyuzi eti amemuona mke wake ametoka chooni
 
Usifanye mambo kua magumu Mkuu.

Humu Kuna Madaktari, Kuna mwingine ni Mwalimu... Mwingine Mwanasheria kama Pasco...Mwingine Muhandisi ... Mwingine Mfanyabiashara ...Mwingine Hana Kazi..Mwingine mwanachuo. Kuna Madereva humu, Kuna mafundi Ujenzi humu .n.k


Sasa Kila mmoja akisema ajikite kwenye Profession yake Kila siku ,unadhan humu JF kutanoga ??? , au Mimi mtu wa Afya niende kuchangia Mada za Uinjinia. ,au Mimi nichangie Mada za Sijui Kati ya Nairobi na Dar ipi nzuri? Sijui DODOMA na Mwanza wapi pazuri .... Mimi binafsi nitakua nmefanya matumizi mabaya ya Akili yangu .


Humu Ndani Kuna nyuzi ambazo Mimi hata iweje Sitokaa kuzifungua baada ya Kusoma Vichwa vya habari..

Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k

Lakini hizo nyuzi Kuna watu wanazielewa sanaaa .


Watu hao sio wajinga Wala nini , ni Mahali ambapo ukiachilia mbali taaluma zao, hapo ndipo wanachangamsha akili



Mimi binafsi hata Ukinita mjinga ,poa tuu ,you are awesome ila ukweli ni kwamba, kwenye UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUNIAMBIII KITU ....NITAUCHANGIA ULE UZI MPAKA SIKU MOJA RAIS SA100 AKIWA JUKWAAN ASEME "KAMA MULE JF KUNA ID YATAITWA CARLOS THE JACKAL, WANANGU NAWAAMBIENI ILE ID INAKULA KIMASIHARA SANA MPAKA INATISHA AU NDIO MKONGO??.

Hapa penyewee nipo naweka sawa Mbususu fulan nataka niile Asubuhi ,alafu usiku Nile mbususu ya yule Bidada nilowaelezea kwenye Uzi wa masihara !!.




Yaan hizi nyuzi za ujinga ujinga, ndo tunakutania hukooo Kwa pamoja
 
Ni wivu tu wa likes comments na trending ya uzi, kwakweli inauma sana mtu kuandika uzi wa kipuuzi kwa mujibu wako akapata page 50 kwa masaa kidogo tu wakati wewe unaandika madini na unaenda wiki hata page 5 hufiki,
Yes ni wivu kwa mtu mwenye akili finyu kama wewe. Ila kwa wenye akili kubwa huwa tunawaangalia tu.

Typical fools.
 
Back
Top Bottom