WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

Matongee

JF-Expert Member
Jun 17, 2023
643
1,559
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.

1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa chama cha Mbowe ni mfano wa kuigwa kwenye ulimwengu wa demokrasia. Huyu ni mtu aliyekula kiapo cha utiifu kwa mwenyekiti wa chama chake kiasi kwamba post zake nyingi huwa ni kumsifu chairman. WanaCCM wamekuwa wakimwandama kwa hoja na baadhi kutumia lugha za kuudhi ila huyu mfuasi wa Mbowe hajawahi rudi nyuma.

2. BIBI FAIZA FOXY
Bibi yetu ambaye inasemekana ndo alikuwa Slayqueen wa enzi za TANU, yaani nchi inapata uhuru yeye tayari kashakula nauli za wakoloni kadhaa.. sio poa. Ni bibi mahiri sana kwenye hoja zake ila wananchi wengi hukwazwa sana na chembechembe za udini alizo nazo. Mwisho wa siku bibi Faiza ni mtu asiyetishwa na maneno ya kumkatisha tamaa kwenye anachoamini.

3. MZEE PASCAL MAYALLA.
Mzee wetu ni muumini mzuri wa sheria ya KARMA. Huamini kabisa hakuna baya utakalofanya halafu karma isitimize wajibu wake wa kukuadhibu. Ila huwa najiuliza KARMA huwa inasahau anwani ya CCM au huwa inakumbuka ila CCM humpatia Karma ka-takrima kisha Karma hupotezea? Tangu nimezaliwa ninasikia CCM ikilaumiwa sana. Mzee Pascal ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Criticism dhidi yake sio ya kitoto ila huyu dingii hatetereki.

4. MZEE MOHAMED SAID
Mzee wetu ni miongoni mwa watu wachache wanaojua mambo mengi sana ya nchi yetu. Ila yeye kaamua kujizima data na kulazimisha kuwa bila familia ya Sykes hii Tanzania isingekua hivi. Kuwa kina Sykes ndo kama waliibeba TZ mabegani na kuhakikisha inapata uhuru. Huwezi mwelezea mtu mdini usimtaje huyu mzee wetu. Pamoja na yote bado mzee wetu ana ngozi ngumu sana. Hayumbishwi kwenye ishu zake za udini.

5. LUCAS MWASHAMBWA
Huyu jombi ndo staa mkubwa kwa sasa wa JF. Jamaa huwa anabubujikwa sana na machozi kila Mama Samia anapoongea chochote. Mwenyewe hujiita kijana mzalendo ila wengi wanamshambulia kwa kumwita chawa.
 
Wanastahili kwakweli.

images (1) (1).jpeg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.

1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa chama cha Mbowe ni mfano wa kuigwa kwenye ulimwengu wa demokrasia. Huyu ni mtu aliyekula kiapo cha utiifu kwa mwenyekiti wa chama chake kiasi kwamba post zake nyingi huwa ni kumsifu chairman. WanaCCM wamekuwa wakimwandama kwa hoja na baadhi kutumia lugha za kuudhi ila huyu mfuasi wa Mbowe hajawahi rudi nyuma.

2. BIBI FAIZA FOXY
Bibi yetu ambaye inasemekana ndo alikuwa Slayqueen wa enzi za TANU, yaani nchi inapata uhuru yeye tayari kashakula nauli za wakoloni kadhaa.. sio poa. Ni bibi mahiri sana kwenye hoja zake ila wananchi wengi hukwazwa sana na chembechembe za udini alizo nazo. Mwisho wa siku bibi Faiza ni mtu asiyetishwa na maneno ya kumkatisha tamaa kwenye anachoamini.

3. MZEE PASCAL MAYALLA.
Mzee wetu ni muumini mzuri wa sheria ya KARMA. Huamini kabisa hakuna baya utakalofanya halafu karma isitimize wajibu wake wa kukuadhibu. Ila huwa najiuliza KARMA huwa inasahau anwani ya CCM au huwa inakumbuka ila CCM humpatia Karma ka-takrima kisha Karma kupotezea? Tangu nimezaliwa ninasikia CCM ikilaumiwa sana. Mzee Pascal ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Criticism dhidi yake sio ya kitoto ila huyu dingii haterereki.

4. MZEE MOHAMED SAID
Mzee wetu ni miongoni mwa watu wachache wanaojua mambo mengi sana ya nchi yetu. Ila yeye kaamua kujizima data na kulazimisha kuwa bila familia ya Sykes hii Tanzania isingekua hivi. Kuwa kina Sykes ndo kama waliibeba TZ mabegani na kuhakikisha inapata uhuru. Huwezi mwelezea mtu mdini usimtaje huyu mzee wetu. Pamoja na yote bado mzee wetu ana ngozi ngumu sana. Hayumbishwi kwenye ishu zake za udini.

5. LUCAS MWASHAMBWA
Huyu jombi ndo staa mkubwa kwa sasa wa JF. Jamaa huwa anabubujikwa sana na machozi kila Mama Samia akiongea chochote. Mwenyewe hujiita kijana mzalendo ila wengi wanamsambulia kwa kumwita chawa.
Pascal Mayala hana baya unamshambulia, lkn anakupa like kiroho safi,
 
Kwa kweli,
tuwape maua yao maana Mimi Kuna muda MTU ananitukana bila sababu nachukiaga najiuliza amenionaje naandika nafuta naandika nafuta naamua kupiga kimya kukaa kimya Ni jibu pia 😊😊😊😊

Kwenye list ongezea..

6. GENTAMYCINE
 
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi.

1. ERYTHROCYTE
Huyu mfuasi kindakindaki wa chama cha Mbowe ni mfano wa kuigwa kwenye ulimwengu wa demokrasia. Huyu ni mtu aliyekula kiapo cha utiifu kwa mwenyekiti wa chama chake kiasi kwamba post zake nyingi huwa ni kumsifu chairman. WanaCCM wamekuwa wakimwandama kwa hoja na baadhi kutumia lugha za kuudhi ila huyu mfuasi wa Mbowe hajawahi rudi nyuma.

2. BIBI FAIZA FOXY
Bibi yetu ambaye inasemekana ndo alikuwa Slayqueen wa enzi za TANU, yaani nchi inapata uhuru yeye tayari kashakula nauli za wakoloni kadhaa.. sio poa. Ni bibi mahiri sana kwenye hoja zake ila wananchi wengi hukwazwa sana na chembechembe za udini alizo nazo. Mwisho wa siku bibi Faiza ni mtu asiyetishwa na maneno ya kumkatisha tamaa kwenye anachoamini.

3. MZEE PASCAL MAYALLA.
Mzee wetu ni muumini mzuri wa sheria ya KARMA. Huamini kabisa hakuna baya utakalofanya halafu karma isitimize wajibu wake wa kukuadhibu. Ila huwa najiuliza KARMA huwa inasahau anwani ya CCM au huwa inakumbuka ila CCM humpatia Karma ka-takrima kisha Karma kupotezea? Tangu nimezaliwa ninasikia CCM ikilaumiwa sana. Mzee Pascal ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Criticism dhidi yake sio ya kitoto ila huyu dingii haterereki.

4. MZEE MOHAMED SAID
Mzee wetu ni miongoni mwa watu wachache wanaojua mambo mengi sana ya nchi yetu. Ila yeye kaamua kujizima data na kulazimisha kuwa bila familia ya Sykes hii Tanzania isingekua hivi. Kuwa kina Sykes ndo kama waliibeba TZ mabegani na kuhakikisha inapata uhuru. Huwezi mwelezea mtu mdini usimtaje huyu mzee wetu. Pamoja na yote bado mzee wetu ana ngozi ngumu sana. Hayumbishwi kwenye ishu zake za udini.

5. LUCAS MWASHAMBWA
Huyu jombi ndo staa mkubwa kwa sasa wa JF. Jamaa huwa anabubujikwa sana na machozi kila Mama Samia akiongea chochote. Mwenyewe hujiita kijana mzalendo ila wengi wanamsambulia kwa kumwita chawa.
Hiyo Lucas Mwashambwa ni takataka iondoe hapo!
 
Back
Top Bottom